TANGAZO


Friday, January 1, 2016

Rais Dk. Magufuli awaapisha Makatibu, Manaibu Makatibu Wakuu Ikulu Dar es Salaam


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Dkt.  Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Profesa Adolf Mkenda (kulia) kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, 01 Januari, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Dkt.  Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Dkt. Maria Mashingo (kulia) kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, 01 Januari, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.  Pombe Joseph Magufuli, akimuapisha Meja Jenerali Gaudence S. Milanzi  (kulia) kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, 01 Januari, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Amon Mpanju kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, 01 Januari, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Maelezo)

No comments:

Post a Comment