TANGAZO


Thursday, December 31, 2015

Mwalimu Godfrey Godwin Kihengu na Miss Mariam Baraka Binagi wauaga rasmi ukapera

Mchungaji Kiongozi wa Jimbo la Tarime Samweli Nyageswa akiwafungisha ndoa Bi.Mariam Baraka Binagi (wa pili kulia) wa Rebu Tarime, Mara pamoja na Mwalimu Godfrey Godwin Kihengu (wa pili kushoto) wa Nyansurura Tarime, Mara ikiwa ni katika ibada iliyofanyika jana Desemba 30,2015 katika Kanisa Anglikana Buhemba Wilaya ya Tarime Mkoani Mara.(Picha zote na BMG (Binagi Media Group)
Mchungaji Kiongozi wa Jimbo la Tarime Samweli Nyageswa akimkabidhi bwana harusi cheti cha ndoa.
Mchungaji Kiongozi wa Jimbo la Tarime Samweli Nyageswa akimkabidhi bibi harusi cheti cha ndoa.
Maharusi wakionyesha vyeti vyao vya ndoa.
Bi.Mariam Baraka Binagi (Kushoto) akiwa pamoja na bwana harusi Godfrey Godwin Kihengu.
Bibi harusi akimlisha keki bwana harusi.
Maharusi wakinyweshana Shampeni.
Maharusi Wakiwa katika picha ya pamoja na Wachungaji.
Maharusi Wakiwa katika picha ya pamoja na Wazazi wake akiwemo mama yake mzazi pembeni ya bibi harusi.
Maharusi Wakiwa katika picha ya pamoja na Wazazi wake.
Maharusi wakiwa pamoja na Wakwe zake.
Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na wadogo zao.
Bibi harusi akiingia Ukumbini siku ya Sendoff iliyofanyika juzi Desemba 29,2015.
Kushoto ni bi. harusi akiwa ukumbini siku ya Sendoff iliyofanyika juzi Desemba 29,2015.
Bi.Mariam Baraka Binagi (kulia) akiwa pamoja na bwana harusi Godfrey Godwin Kihengu (Kushoto).
Kaka wa bibi harusi ambae pia ndie mmiliki wa BMG (Kushoto) akiwa pamoja na Mama Mzazi wa bibi harusi.
Kaka wa bibi harusi ambae pia ndie mmiliki wa BMG (Kulia) akiwa pamoja na dada wa bibi harusi.
"Tunawatakiwa Maisha Mema na Yenye Fanaka katika ndoa yenu na Mola azidi kuibariki". Zaidi BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment