Mashabiki wa Yanga, wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya timu hiyo dhidi ya Prison ya Mbeya, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga katika mchezo huo, imeshinda mabao 3-0. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Ubao wa matokeo ukionesha Yanga mabao 2 na Prison 0 hadi kipindi cha kwanza kinamalizika.
Haji Mwinyi wa Yanga akimtoka Salum Kimenya wa Prison ya Mbeya wakati wa mchezo huo.
Kocha wa Yanga, Hans Plujm (kulia), akizozana na mwamuzi wa mchezo huo, Alex Mahagi.
Salum Telela wa Yanga akiwania mpira na Cosmas Ader wa Prison ya Mbeya.
Wachezaji wa Yanga, Simon Msuva, Donald Ngoma (11) na Deus Kaseke, wakishangilia kwa kucheza, bao la tatu baada ya timu hiyo kupata penalti, iliyofungwa na Ngoma dhidi ya Prison ya Mbeya, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda mabao 3-0.
Wachezaji wa Yanga, Simon Msuva, Donald Ngoma (11) na Deus Kaseke, wakishangilia kwa kucheza.
Wachezaji wa Yanga, Simon Msuva, Donald Ngoma (11) na Deus Kaseke, wakishangilia kwa kucheza, baada ya kupata bao la tatu baada ya timu hiyo kupata penalti, iliyofungwa na Ngoma dhidi ya Prison ya Mbeya, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda mabao 3-0.
Haji Mwinyi wa Yanga akikimbia na mpira kuelekea golini kwa Prison huku akifuatwa na beki Salum Kimenya wa Prison ya Mbeya.
Salum Kimenya wa Prison ya Mbeya akimtoka Haruna Niyonzima wa Yanga wakati wa mchezo huo.
Salum Kimenya wa Prison ya Mbeya akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Haruna Niyonzima wa Yanga wakati wa mchezo huo.
Salum Kimenya wa Prison ya Mbeya akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Haruna Niyonzima wa Yanga wakati wa mchezo huo.
Salum Kimenya wa Prison ya Mbeya akimtoka Haruna Niyonzima wa Yanga wakati wa mchezo huo.

No comments:
Post a Comment