TANGAZO

Monday, September 28, 2015

Vijana waanzisha Club kumuunga mkono Dkt. Magufulu

Mratibu wa Kampeni upande wa Vijana CCM kwa Mkoa wa Dar es Salaam na Vyuo Vikuu, Bw. Daniel Zenda akizungumza na zaidi ya vijana 500 kutoka Jimbo la Mbagala wakati wa uzinduzi wa Magufuli Club jijini Dar es Salaam jana. Magufuli Club imeanzishwa kama jukwaa la kuwakutanisha vijana nchini kote wanaomuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli. 

Mratibu wa Magufuli Club, Wilaya ya Temeke, Bw. Peter Dafi akizungumza na vijana kutoka Jimbo la Mbagala wakati wa uzinduzi wa Club hiyo, jijini Dar es Salaam jana. Magufuli Club imeanzishwa kama jukwaa la kuwakutanisha vijana nchini kote wanaomuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli.
Baadhi wa vijana wakifuatilia uzinduzi wa Magufuli Club katika Jimbo la Mbagala jijinI Dar es Salaam jana. 
Wanachama wa Magufuli Club wakifurahia wakati uzinduzi wa Club hiyo, katika Jimbo la Mbagala Dar es Salaam jana. (Picha zote na Frank Shija-Maelezo)

No comments:

Post a Comment