TANGAZO

Thursday, September 10, 2015

Mkutano wa Mgombea Mwenza wa Urais wa Ukawa Mkoa wa Iringa

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akizungumza na wananchi katika jimbo la Isimanii mkoani Iringa jana, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Kimandi. Kulia ni mkazi wa kijiji cha Kimandi akiwa na mtoto wake Sosopi Mpufi. (Picha zote na Francis Dande) 
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha Makamu Mwenyekiti wa Bavicha Taifa ambaye pia ni mgombea wa jimbo la Isimani Iringa vijijini, Patrick Ole Sosopi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Kimandi. 

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji (kushoto), akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa Bavicha Taifa, mgombea wa jimbo la Isimani Iringa vijijini, Patrick Ole Sosopi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Kimandi.  
Wasanii wa kikundi cha ngomza za asili cha Kitimtim kikitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni uliohutubiwa na mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Ukawa, Juma Duni Haji uliofanyika katika jimbo la Isimani mkoani Iringa jana. 
Mgombea ubunge jimbo la Isimani Iringa vijijini kupitia Ukawa, Patrick Ole Sosopi akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana. 
Wananchi wakifuatilia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Isimani mkoani Iringa.

No comments:

Post a Comment