TANGAZO

Sunday, September 27, 2015

Mgombea Urais wa Ukawa, Edward Lowassa ahutubia wananchi wa Himo, Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro leo

Wananchi wa Jimbo la Vunjo, wakishangilia wakati Mgombea Ubunge wao, Mh. James Mbatia, akiwahutubia, katika mkutano wa kampeni, uliofanyika Uwanja wa Polisi Himo, Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro leo, Septemba 27, 2015. (Picha zote na Othman Michuzi)  
Wananchi wa Jimbo la Vunjo, wakishangilia wakati Mgombea Ubunge wao, Mh. James Mbatia, akiwahutubia, katika mkutano wa kampeni, uliofanyika Uwanja wa Polisi Himo, Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro leo, Septemba 27, 2015. 
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Mh. James Mbatia, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Himo, katika mkutano wa kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Himo, Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro leo, Septemba 27, 2015.  

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mh. Freeman Mbowe, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Himo, katika mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa Ukawa kupitia chama hicho, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika Uwanja wa Polisi Himo, Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro leo Septemba 27, 2015. 
Mgombea Urais wa Tanzania wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Himo, katika mkutano wa kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Himo, Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro leo Septemba 27, 2015. 

Mgombea Urais wa Tanzania wa Ukawa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mh. Edward Lowassa, akiwa ameambatana na baadhi ya viongozi wakuu wa Ukawa, wakati wakiondoka eneo la Uwanja wa Polisi Himo, ulipofanyika  mkutano wa kampeni, leo Septemba 27, 2015. 

No comments:

Post a Comment