TANGAZO


Sunday, August 16, 2015

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Makumbusho waendelea kunufaika na mradi wa Smart School chini ya Vodacom Foundation

Mwalimu wa somo la Kompyuta wa Shule ya Sekondari ya Makumbusho, jijini Dar es Salaam, Josiah Kimaro, akimfundisha somo la Kompyuta, Ibrahim Athumani, ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule hiyo, walipotembelewa na Maofisa wa Taasisi ya Vodacom Foundation, kujionea maendeleo ya mradi wa Smart School, unaofadhiliwa na taasisi hiyo na kunaendeshwa na Learning In Sync kwa ajili ya wanafunzi wa shule za Sekondari kupata mafunzo ya masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo.
Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Makumbusho ya jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza Mwalimu wa somo la Kompyuta wa shule hiyo, Josiah Kimaro wakati akiwafundisha, walipotembelewa na Maofisa wa Taasisi ya Vodacom Foundation kujionea maendeleo ya mradi wa Smart School unaofadhiliwa na taasisi hiyo na kuendeshwa na Learning In Sync kwa ajili ya wanafunzi wa shule za sekondari kupata mafunzo ya masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo.
Halima Hassani na Ally Hamisi ambao ni wanafunzi wa kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Makumbusho ya jijini Dar es Salaam, wakiwa darasani kujifunza somo la Kompyuta, wakati walipotembelewa na Maofisa wa Taasisi ya Vodacom Foundation kujionea maendeleo ya mradi wa Smart School unaofadhiliwa na taasisi hiyo na kuendeshwa na Learning In Sync kwa ajili ya wanafunzi wa shule za sekondari kupata mafunzo ya masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo.
Mwalimu wa somo la Kompyuta wa shule ya Sekondari ya Makumbusho, jijini Dar es Salaam, Josiah Kimaro akiwafundisha somo la Kompyuta wanafunzi wa kidato cha nne wa shule hiyo, wakati walipotembelewa na Maofisa wa Taasisi ya Vodacom Foundation kujionea maendeleo ya mradi wa Smart School unaofadhiliwa na taasisi hiyo na kuendeshwa na Learning In Sync kwa ajili ya wanafunzi wa shule za sekondari kupata mafunzo ya masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo.

No comments:

Post a Comment