TANGAZO


Thursday, August 20, 2015

Mkutano wa NEC na Wadau wa Uchaguzi wafanyika jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji, Damian Lubuva akitoa mada leo jijini Dar es Salaam kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali waliohudhuria mkutanoni . 
Baadhi ya viongozi wa dini waliohudhuria mkutano ulioandaliwa na NEC leo jijini Dar es salaam wakifuatilia mada iliyokuwa zikiendelea. 
Wanasekretarieti ya maandalizi ya mkutano NEC na wadau mbalimbali  na baadhi ya waandishi wakifuatilia mjadala kuhusu wajibu wa viongozi wa dini kuelekea uchaguzi mkuu ujao. 
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi Jaji, Damian Lubuva akiteta jambo na mmoja  wa Makamishna wa Tume hiyo Prof Amon Chaligha leo jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa NEC na wadau mbalimbali. 
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani akitoa mada kuhusu mchakato mzima wa uchaguzi na hatua zilizofikiwa hadi sasa leo jijini Dar es salaam wakati wa mkutano wa viongozi wa madhehebu ya dini. (Picha zote na Mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment