Mbunge wa Vitimaalumu Chadema, Lucy Owenya akizungumza katika mkutano huo.
|
Meneja wa kampeni wa mgombea ubunge katika jimbo la Moshi mjini, Raymond Mboya akisalimia katika mkutano huo.
|
Umati wa wakazi wa Moshi katika mkutano huo.
|
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini aliyemaliza muda wake, Philemoni Ndesamburo akizungumza katika mkutano huo.
|
Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini, Jafary Michael akizungumza katika mkutano huo.
|
Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael akiomba kura mbele ya wapiga kura wakati wa uzunduzi wa kampeni katika jimbo la Moshi mjini.
|
Red brigade wakiimarisha ulinzi mbele ya jukwaa. (Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanada ya Kaskazini)
|
No comments:
Post a Comment