Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahma Kinana alipokuwa anawasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Jumatano Agosti 19, 2015.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu wa Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg Philip Mangula alipowasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Jumatano Agosti 19, 2015.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam Mhe Saidi Meck Sadick alipowasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Jumatano Agosti 19, 2015.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova alipowasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam Jumatano Agosti 19, 2015.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mgombea mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa UWT Mhe Sophia Simba.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mama Masaburi.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Meya wa jiji la Dar es salaam Dkt Masaburi.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wana CCM.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mkereketwa wa CCM.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakereketwa wa CCM.
Sehemu ya umati wa maelfu ya wananchi wa Dar es salaam kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam Jumatano Agosti 19, 2015.
Sehemu ya umati wa maelfu ya wananchi wa Dar es salaam kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Jumatano Agosti 19, 2015.
Kila mtu alikuwa na kamera yake ya simu kurekodi hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, Jumatano Agosti 19, 2015.
Wabunge watarajiwa wa Dar es Salaam.
Sehemu ya umati.
Sehemu ya umati.
Sehemu ya umati.
Sehemu ya umati.
Nyomi ya wana CCM wa Dar es Salaam.
Nyomi ya wana CCM wa Dar es Salaam.
Nyomi ya wana CCM wa Dar es Salaam.
Nyomi ya wana CCM wa Dar es Salaam.
Mikono juu.
Nyomi ya wana CCM wa Dar es Salaam.
Nyomi ya wana CCM wa Dar es Salaam.
Nyomi ya wana CCM wa Dar es Salaam.
Wanahabari kazini.
Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM Ndg Ramadhani Madabida akisalimia umati.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia umati.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea.
Msanii nyota wa Bongo Fleva Inspekta Haroun alikuwepo pia.
Nyomi.
Wana CCM kila pembe ya ukumbi.
Diwani Kitwana Manara Popat na wajumbe wenzie.
Wabunge wa Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea kuongea.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha mgombea mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan.
Mgombea mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan akisalima wananchi.
Mgombea mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan akiongea.
Pongezi kwa Mgombea mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan.
JK akimualika Dkt Magufuli.
Mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akisalimia umati.
Mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akisalimia umati.
Mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiongea.
Mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akisalimia umati.
Mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akisalimia umati.
Pongezi kwa mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli baada ya kuogea.
Meza kuu.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Dkt Magufuli na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Dkt Magufuli na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti wa wazee wa Dar es Salaam akiongea.
Mwenyekiti wa wazee wa Dar es salaam akiongea.
Mwenyekiti wa wazee wa Dar es Salaam akipongezwa na Dkt Magufuli.
Mwenyekiti wa wazee wa Dar es salaam akipongezwa na mgombea mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan.
Meza Kuu.
Kwaherini na asante sana.




























































No comments:
Post a Comment