TANGAZO


Monday, July 6, 2015

Waliokuwa Mawaziri wa Fedha, Basil Mramba na wa Madini, Daniel Yona wanusa jela

Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na kushitakiwa katika tuhuma za kusamehe kodi na kuisababishia Serikali hasara ya sh. bil. 11.7, akizungumza jambo na wakili wake, Herbert Nyange, kabla ya kupanda kizimbani kusikiliza hukumu yake, pamoja na wenzake, Waziri mstaafu wa Madini, Daniel Yona (kushoto) na aliyekuwa Katibu Mkuu wa wizara ya Fedha, Gray Mgonja (hayupo pichani), ambao baadaye Mahakama iliwakuta na hatia na kuwahukumu kwenda jela miaka 3 pamoja na kulipa faini ya sh. milioni 5 kila mmoja baada ya kumaliza kutumikia adhabu zao na kumwachia huru, Mngoja katika hukumu hiyo, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo. Picha zote na Kassim Mbarouk-www.blogspot.com) 
Aliyekuwa Waziri wa Fedha na kushitakiwa katika tuhuma za kusamehe kodi na kuisababishia Serikali hasara ya sh. bil. 11.7, Basil Mramba (kushoto), akizungumza jambo na wakili wake, Peter Swai, akiwa kwenye kizimba cha Mahakama hiyo leo.
Waziri mstaafu wa Madini, Daniel Yona (kushoto), akiagana na mmoja wa ndugu zake, wakati akipelekwa kwenye gari la Polisi kwa ajili ya kupelekwa gerezani baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka 3 pamoja na faini ya sh. milioni 5 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini leo.
Aliyekuwa Waziri wa Fedha na kushitakiwa katika tuhuma za kusamehe kodi na kuisababishia Serikali hasara ya sh. bil. 11.7, Basil Mramba (katikati), akijitayarisha kupanda gari la Polisi baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka 3 pamoja na kulipa faini ya sh. milioni 5 kila mmoja jijini leo jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa Waziri wa Fedha na kushitakiwa katika tuhuma za kusamehe kodi na kuisababishia Serikali hasara ya sh. bil. 11.7, Basil Mramba (katikati), akipanda gari la Polisi baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka 3 pamoja na kulipa faini ya sh. milioni 5 kila mmoja jijini leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment