TANGAZO


Monday, May 25, 2015

Yanga yamtambulisha Deus Kaseke wa Mbeya City, Wamkabidhi jezi namba 4


Msemaji wa timu ya Yanga, Jerry Muro (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, alipokuwa akimtambulisha mchezaji mpya wa timu hiyo, Deus Kaseke (kulia), Dar es Salaam leo, waliyemsajili kutoka timu ya Mbeya City. Kushoto ni Meneja wa timu hiyo, Hafidh Saleh. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Msemaji wa timu ya Yanga, Jerry Muro, akizungumza na waandishi wa habari, alipokuwa akimtambulisha mchezaji mpya wa timu hiyo, Deus Kaseke (kulia), Dar es Salaam leo. Mchezaji huyo, amesajili kutoka timu ya Mbeya City, ya Mbeya. 
Waandishi wa habari, wakichukua matukio, wakati Msemaji wa timu ya Yanga, Jerry Muro, alipokuwa akizungumza nao, apokuwa akimtambulisha mchezaji mpya wa timu hiyo, Deus Kaseke, kutoka timu ya Mbeya City.
Waandishi wa habari, wakichukua matukio, wakati Msemaji wa timu ya Yanga, Jerry Muro, alipokuwa akizungumza nao, apokuwa akimtambulisha mchezaji mpya wa timu hiyo, Deus Kaseke, kutoka timu ya Mbeya City.
Meneja wa Timu ya Yanga, Hafidh Saleh (kushoto) na Msemaji wa timu hiyo, Jerry Muro (katikati), wakimkabidhi jezi mchezaji mpya, Deus Kaseke, wakati wa utambulisho huo.
Mchezaji mpya wa Yanga, Deus Kaseke, akikabidhiwa jezi namba 4 na Meneja wa Timu ya Yanga, Hafidh Saleh (kushoto) na Msemaji wa timu hiyo, Jerry Muro.
Mchezaji mpya wa Yanga, Deus Kaseke, akiivaa jezi aliyokabidhiwa.
Mchezaji mpya wa timu hiyo, Deus Kaseke (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano huo.
Meneja wa Timu ya Yanga, Hafidh Saleh (katikati), akizungumza wakati wa utambulisho huo.
Mchezaji mpya wa timu hiyo, Deus Kaseke (kushoto), akijibu maswali ya waandishi wa habari katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment