Meneja wa Tawi la Benki ya Posta Zanzibar Ndg Justin S. Nandonde akisalimiana na wageni na kuwakaribisha, walipotembelea tawi hilo, la Zanzibar kujionea utendaji wa Benki ya Posta Tawi la Zanzibar wakiwa katika ziara yao Zenj.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Ndg. Sabasaba Moshingi, akitoa maelezo kwa
Ujumbe wa Maofisa wa Benki wa Umoja wa Mabenki Duniani Kanda ya Afrika,
walipotembelea Benki ya Posta tawi la Zanzibar.
Wajumbe wa Mkutano wa Wanachama wa Umoja wa Mabenki Duniani wa Kanda ya Afrika wakimsikiliza Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (hayupo pichani), wakati walipofika Tawi la Benki ya Posta Zanzibar.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Ndg. Sabasaba Moshingi, akitoa maelezo ya
Ujumbe wa Maofisa wa Benki wa Umoja wa Mabenki Duniani Kanda ya Afrika,
walipotembelea Benki ya Posta tawi la Zanzibar.
Mkurugenzi wa Teknohama na Uendeshaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Ndg. Jema Msuya akitowa maelezo ya kiufundi kwa ujumbe huo. walipotembelea Benki ya Posta Tawi la Zanzibar Mchangani.
Meneja wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Tawi la Zanzibar, Ndg. Justin S. Nandonde akitoa maelezo kwa ujumbe huo ulipotembelea Tawi hilo na kuagalia ufanisi wa huduma za Benki hiyo kwa wateja wao
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Ndg. Sabasaba Moshingi akiwa na wageni wake wakitoka katika moja ya sehemu ya historia ya Kanisa la Mkunazi Zanzibar.
Mtembeza Watalii katika Mji Mkongwe seif Ali akitowa maelezo kwa Ujumbe huwa sehemu za historia za Mji Mkongwe wa Zanzibar.
Maofisa wa Umoja wa Benki za Akiba Duniani Kanda ya Afrika wakiwa katika ziara yao katika mji mkongwe na kupata kuonja Ubuyu wa Kwaissa sokomuhugo Zenj wakiwa katika ziara ya siku mbili Zanzibar baada ya kumaliza Mkutano wao Dar.
Mtembeza Watalii Zenj akitoa maelezo kwa Ujumbe huo wa Maofisa wa Mabenki ya Akiba wakiwa katika ziara yao kutembelea sehemu za historia za mji Mkongwe Zanzibar wakipata maelezo ya Mlango wa Zanzibar.

No comments:
Post a Comment