Mwangalizi wa Masoko wa Kampuni ya AVIL International Real Estate (T), Linda Zhang, akimpatia maelezo Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, wakati alipokuwa akitembelea mabanda mbalimbali katika maonesho ya 5 ya Sekta ya Nyumba (Tanzania Homes Expo) katika ufunguzi wa maonesho hayo, Dar es Salaam leo. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGTgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mkuu wa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Techno Image, Caroline Mujaya, akimpatia maelezo Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (wapili kushoto), wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo katika maonesho ya 5 ya Sekta ya Nyumba (Tanzania Homes Expo) wakati wa ufunguzi Mlimani City, Dar es Salaam leo. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGTgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula.
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya African Life, Rishia Kileo, akimpatia maelezo Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (wapili kulia), wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo katika maonesho ya 5 ya Sekta ya Nyumba (Tanzania Homes Expo) wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo, Dar es Salaam leo. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGTgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula.
Msanifu Majengo wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Julius Ndege, akimpatia maelezo Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (wapili kulia), wakati alipotembelea banda la wizara hiyo katika maonesho ya 5 ya Sekta ya Nyumba (Tanzania Homes Expo), wakati wa ufunguzi, Mlimani City, Dar es Salaam leo. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGTgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula.
Ofisa Sheria wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Ivan Amurike (kushoto), akitoa maelezo kwa Mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (wapili kulia), wakati alipotembelea banda la wizara hiyo, katika maonesho ya 5 ya Sekta ya Nyumba (Tanzania Homes Expo), wakati wa ufunguzi, Mlimani City, Dar es Salaam leo. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGTgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula na wapili kushoto ni Ofisa Maendeleo ya Jamii wa wizara, Tumaini Iddi Setumbi.
Mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akikata utepe wakati akiyafungua maonesho ya 5 ya Sekta ya Nyumba (Tanzania Homes Expo), Mlimani City, Dar es Salaam leo. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGTgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula na kushoto ni Msanifu Majengo wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Julius Ndege.
Mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akikata utepe wakati akiyafungua maonesho ya 5 ya Sekta ya Nyumba (Tanzania Homes Expo), Mlimani City, Dar es Salaam leo. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGTgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula na kushoto ni Msanifu Majengo wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Julius Ndege.
Mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kuyafungua maonesho ya 5 ya Sekta ya Nyumba (Tanzania Homes Expo), Mlimani City, Dar es Salaam leo. Wapili kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGTgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula.
Wafanyakazi wa Kampuni za EAGTgroup, waandaaji wa maonesho ya 5 ya Sekta ya Nyumba (Tanzania Homes Expo), wakiwa katika kibanda cha mapokezi kwenye maonesho hayo, Mlimani City, wakati wa ufunguzi, Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Kampuni za EAGTgroup, waandaaji wa maonesho ya 5 ya Sekta ya Nyumba (Tanzania Homes Expo), wakiwa katika kibanda cha mapokezi katika maonesho hayo, Mlimani City, wakati wa ufunguzi, Dar es Salaam leo.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGTgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula, akimsindikiza Mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto), wakati akiondoka, mara baada ya kuyafungua maonesho ya 5 ya Sekta ya Nyumba (Tanzania Homes Expo), Mlimani City, Dar es Salaam leo.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGTgroup, waandaaji wa maonesho ya 5 ya Sekta ya Nyumba (Tanzania Homes Expo), Imani Kajula, akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kufunguliwa maonesho hayo, na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (hayupo pichani), Mlimani City, Dar es Salaam leo.













No comments:
Post a Comment