Mwelimishaji kutoka Wizara ya Fedha, Mratibu wa Mradi wa Maboresho ya Matumizi ya Fedha za Umma (PFMRP), Sebastian Ndandala, akifafanua jambo kwa waandshi wa habari kuhusu mradi huo, katika semina ya waandishi, iliyoandaliwa na wizara hiyo na kumalizika mwishoni mwa wiki, Kibaha mkoani Pwani. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mwelimishaji kutoka Wizara ya Fedha, Mratibu wa Mradi wa PFMRP, Sebastian Ndandala, akielezea kuhusu mradi huo.
Mwelimishaji kutoka Wizara ya Fedha, Mratibu wa Mradi wa PFMRP, Sebastian Ndandala, akielezea jambo wakati wa semina hiyo.
Mwelimishaji kutoka Wizara ya Fedha, Mratibu wa Mradi wa PFMRP, Sebastian Ndandala, akifafanua jambo.
Mwelimishaji kutoka Wizara ya Fedha, Mratibu wa Mradi wa PFMRP, Sebastian Ndandala, akiwaelezea jambo wanasemina hao.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma (kulia), akifuatilia semina hiyo. Kushoto ni Ofisa Habari wa wizara hiyo, Scola Milinga.
Baadhi ya waandishi na wanabloga wakiwa katika semina hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Full Shangwe, John Bukuku na kulia ni Ahmad Michuzi wa Michuzi Media.
Waandishi na wamiliki wa mitandao ya kijamii Kajuna (kushoto) wa Kajuna blog na Mushi wa The Habari blog.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma akiwa katika semina hiyo.
Mmoja wa wafanyakazi wa Wizara ya Fedha, Ramadhan, akiwajibika wakati wa semina hiyo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma akichangia jambo wakati wa semina hiyo.

No comments:
Post a Comment