TANGAZO


Saturday, May 23, 2015

Rais Jakaya Kikwete akutana na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Seif Sharif Hamad mjini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad baada ya kukutana na kufanya azungumzo, Ikulu Ndogo, mjini Dodoma leo, Jumamosi, Mei 23, 2015. 
Rais Kikwete akimuaga Mheshimiwa Hamad mara baada ya kumalizika kwa kikao chao hicho, Ikulu Ndogo, mjini Dodoma leo. (Picha zote na John Lukuwi, Maelezo.)

No comments:

Post a Comment