TANGAZO


Friday, May 29, 2015

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa amwapisha Mkuu mpya wa Wilaya ya Mpwapwa Anthony Mavunde

Athony Mavunde akila kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (hayupo pichani) jana katika viwanja vya Ofisi ya mkuu wa mkoa. 
Athony Mavunde akitia saini hati ya kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa jana. 
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Athony Mavunde (kushoto) akipongezwa na baba yake mzazi Ndg. Peter Mavunde mara baada ya kula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya jana. 
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (katikati), akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Athony Mavunde (kushoto kwake) na wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dodoma wakati wa hafla ya kumwapisha mkuu huyo mpya wa wilaya ya Mpwapwa. (Picha zote na John Banda)

No comments:

Post a Comment