*Chaongozwa na Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki
*Chajadili Ongezeko la Majimbo
Mwenyekiti wa Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki (kulia), akikiendesha kikao hicho, mara baada ya kukifungua leo. Kikao hicho kilikuwa kikijadili pamoja na mambo mengine, suala la mapendekezo ya kuongeza Majimbo ya Uchaguzi mkoani humo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mwenyekiti wa Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, akikiendesha kikao hicho. Kushoto ni Katibu wa kamati hiyo, Katibu Tawala Mkoa wa Dar es salaam, Theresia Mbando
Wakuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema na wa Ilala, Raymond Mushi wakiwa katika kikao hicho.
Mbunge wa Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Dk. Faustine Ndugulile, akichagia wakati wa majadiliano hayo,
Mwenyekiti wa Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, akikiendesha kikao hicho. Kushoto ni Katibu wa kamati hiyo, Katibu Tawala Mkoa wa Dar es salaam, Theresia Mbando.
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zarina Madabida akichangia mjadala wa ongezeko la watu na majimbo mkoani Dar es Salaam.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda akichangia suala hilo.
Mbunge wa Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee akichangia mjadala wa ongezeko la watu na majimbo mkoani Dar es Salaam.
Mbunge wa Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee akichangia mjadala wa ongezeko la watu na majimbo mkoani Dar es Salaam.
Mbunge wa Ukonga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eugen Mwaiposa, akichangia mjadala wa ongezeko la watu na majimbo mkoani Dar es Salaam.
Mbunge wa Ukonga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eugen Mwaiposa, akichangia mjadala huo.
Mwenyekiti wa Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, akikiendesha kikao hicho. Kushoto ni Katibu wa kamati hiyo, Katibu Tawala Mkoa wa Dar es salaam, Theresia Mbando.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba akiteta jambo na Mbunge wa Kigamboni, Dk. Faustine Ndugulile, wakati wa majadiliano hayo,
Wajumbe wakiwa katika kikao cha kamati hiyo.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Eng. Mussa Natty, akichangia majadiliano hayo.
Mwenyekiti wa Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, akikiendesha kikao hicho.
Mwenyekiti wa Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, akikiendesha kikao hicho.
Mbunge wa Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee akinyanyua mkono kuomba kuchangia mjadala wa ongezeko la watu na majimbo mkoani Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment