TANGAZO


Tuesday, May 26, 2015

Ghala la kuhifadhia Bidhaa laungua Jijini Dar es Salaam

Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, pamoja na wananchi wakiwa kwenye eneo la ghala la kuhifadhia bidhaa mbalimbali zikiwemo za plastiki lililokuwa likiungua, Barabara ya Nyerere, maeneo ya Banda la Ngozi, Dar es Salaam leo. Chanzo cha moto huo, inasemekana ilikuwa ni hitilafu cha umeme. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakiwa katika harakati ya kuuzima moto uliokuwa ukiliteketeza ghala la kuhifadhia bidhaa mbalimbali zikiwemo za plastiki, Barabara ya Nyerere, maeneo ya Banda la Ngozi, Dar es Salaam leo. Ghala hilo linamilikiwa na raia wa China wanaofanya shughuli zao za biashara nchini Tanzania.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakiangalia ndani ili kujua ni sehemu ipi moto bado ulikuwa unaendelea kuwaka.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakiwa kwenye eneo la ghala la kuhifadhia bidhaa mbalimbali zikiwemo za plastiki lililokuwa likiungua, Barabara ya Nyerere, maeneo ya Banda la Ngozi, Dar es Salaam leo.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakiwa ndani ya ghala hilo, lililokuwa likiteketea kwa moto na pia kujaa moshi mzito, uliwalazimu askari huo, kutumia mitungi ya gesi ili kuweza kuhimili moshi huo, Barabara ya Nyerere, maeneo ya Banda la Ngozi, jijini Dar es Salaam leo.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, akiwa ndani ya ghala hilo, akiendelea kuuzima moto huo, huku akifunikwa na moshi mzito uliokuwa ukitoka kwenye bidhaa za plastiki.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakiwa ndani ya ghala hilo, kuendelea kuuzima moto.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakiwa wamevalia vifaa na nguo za kazi tayari kuingia kwenye ghala hilo lililokuwa likiteketea kwa moto pamoja na bidhaa mbalimbali.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakiwa ndani ya ghala hilo, kuendelea na harakati za uzimaji moto.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, amoja na wa kampuni binafsi za uzimaji moto, wakiwa katika eneo hilo, wakishauriana jinsi ya kulimaliza tatizo hilo.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakiwa ndani ya ghala hilo, kuendelea na kazi ya kuuzima moto.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakiwa nje ya ghala hilo, wakielekezana jambo, wakati wa uzimaji moto huo. 


Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, pamoja na wananchi wakiwa katika harakati mbalimbali kwenye eneo hilo.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji na wananchi mbalimbali wakiwa katika eneo hilo.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakiangalia athari za moto huo. 
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakiwa kazini.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakishauriana jambo. 
Moshi mzito ukiendelea kutoka ndani ya ghala hilo, wakati wa kuzimwa moto huo.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakiangalia shughuli zilivyokuwa zikiendela ndani ya ghala hilo.


Pichani: Juu na chini shughuli za uzimaji moto zikiendelea.


Mmoja wa Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, akivaa kifaa maalum cha kuvutia hewa kabla ya kuingia kwenye ghala hilo, kuendelea na kazi ya uzimaji moto huo.
Mmoja wa Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, akijipanga tayari kuingia kwenye ghala hilo. 
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, akimvisha kifaa maalum mwenzake cha kuvutia hewa kabla ya kuingia kwenye ghala hilo, kuendelea na kazi ya uzimaji moto huo.
Moto ukiendelea kuwaka ndani ya ghala hilo.
Moto ukiwaka ndani ya ghala huku kazi ya kuuzima ikiendelea.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakiwa tayari kuingia ndani ya ghala hilo, tayari kwa kuendela na kazi ya uzimaji moto huo.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakielekezana jambo nje ya ghala hilo.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakiweka sawa mipira ya maji kwenye gari lao.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakiweka sawa mipira ya maji kwenye gari lao.

No comments:

Post a Comment