Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete akiingia ukumbini kuendesha Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma leo. kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. ![]() |
Wajumbe wakiwa wamesimamaukumbini kumlaki Kikwete alipoingia ukumbini kuendesha kikao hicho leo.
|







No comments:
Post a Comment