TANGAZO


Monday, April 20, 2015

Waziri wa Fedha Saada Salum Mkuya akutana na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika

Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya  akijibu maswali aliyokuwa akiulizwa na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia ukanda wa Afrika Bw. Makhatar Diop  aliyeko mbeleyake. Kulia kwa Waziri ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dr. Servacius Likwelile akifuatiwa na Bw. Rished Bade Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania.
Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya  akijibu maswali aliyokuwa akiulizwa na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia ukanda wa Afrika Bw. Makhatar Diop  aliyeko mbeleyake.Kulia kwa Waziri ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dr. Servacius Likwelile akifuatiwa na Bw. Rished Bade Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania.
Ujumbe wa Mkutano huo kutoka pande zote mbili yaani Tanzania na Benki ya Dunia, wakiwaangalia wajumbe waliokuwa wakijitambulisha.
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia ukanda wa Afrika Bw. Makhatar Diop pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakitafuta kitu cha kumuuliza Waziri wa fedha (hayupo kwenye picha)katika mkutano uliofanyika mjini Washington DC. Dunia ukanda wa Afrika Bw. Makhatar Diop,( hayupo kwenye picha).Kulia ni Bw. Rished Bade Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania na kushoto ni Gavana msaidizi wa Benki kuu ya Tanzania  Bi. Natu Mwamba.
Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya  akipiga mahesabu ya haraka haraka na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dr. Servacius Likwelile, baada ya kuulizwa swali na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia ukanda wa Afrika Bw. Makhatar Diop,( hayupo kwenye picha).Kulia ni Bw. Rished Bade Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania na kushoto ni Gavana msaidizi wa Benki kuu ya Tanzania  Bi. Natu Mwamba.
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia ukanda wa Afrika Bw. Makhatar Diop na  Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier,wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya alipokuwa akitoa msimamo wa Tanzania katika kutano huo uliofanyika mjini Washington DC. (Picha zote na Ingiahedi C. Mduma – Washington DC)

No comments:

Post a Comment