Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (mwenye kilemba) akikagua akiba ya chakula kilichohifadhiwa kwenye kituo cha NFRA kanda ya kati mapema leo alipofanya ziara kituoni hapo eneo la kizota.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (kushoto) akifanya ziara ya ukaguzi kwenye kituo cha hifadhi ya chakula NFRA kanda ya kati mapema leo alipotembelea kituoni hapo eneo la kizota kujionea kiasi cha akiba ya chakula iliyopo, kulia ni meneja wa NFRA Kanda ya Kati Deusdedit Mpazi.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (mwenye kilemba) akikagua akiba ya chakula kilichohifadhiwa kwenye kituo cha NFRA kanda ya kati mapema leo alipofanya ziara kituoni hapo eneo la kizota.
Sehemu ya chakula cha akiba kilichohifadhiwa kwenye kituo cha hifadhi ya chakula NFRA kanda ya kati, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa amemuagiza Meneja wa NFRA Kanda ya Kati kufanya taratibu zinazohitajika ili kuingiza chakula hiko kwenye masoko kusaidia kupunguza bei ya chakula sokoni ili wananchi wanufaike.
Sehemu ya chakula cha akiba kilichohifadhiwa kwenye kituo cha hifadhi ya chakula NFRA kanda ya kati, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa amemuagiza Meneja wa NFRA Kanda ya Kati kufanya taratibu zinazohitajika ili kuingiza chakula hiko kwenye masoko kusaidia kupunguza bei ya chakula sokoni ili wananchi wanufaike. (Picha zote na John Banda, Dodoma)

No comments:
Post a Comment