TANGAZO

Wednesday, April 15, 2015

Makamu wa Rais Dk. Bilal akutana na wawekezaji kutoka Egypt Ikulu jijini Dar es Salaam leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Uongozi wa Mamlaka zinazohusika na  uwekezaji Tanzania na Wawekezajia kutoka Egypt wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo April 15, 2015.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Wawekezajia kutoka Egypt baada ya mazungumzo yao wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo April 15, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mr. Joe Kawkaban kiongozi wa Ujumbe wa Wawekezajia kutoka Egypt baada ya mazungumzo yao wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo April 15, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Wawekezajia wa CPU wakati alipokutana na ujumbe huo Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo April 15, 2015.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wawekezajia wa CPU baada ya mazungumzo yao Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo April 15, 2015. (Picha zote na OMR)

No comments:

Post a Comment