Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mathias Chikawe (kulia) akimkaribisha ofisini kwake,Balozi wa Uingereza nchini,
Dianna Melrose, wakati balozi huyo alipomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake
jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kujadiliana na masuala mbalimbali ya
ushirikiano kati ya Uingereza na Tanzania. (Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi)
Wednesday, April 15, 2015
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania amtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa
Uingereza nchini, Dianna Melrose masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Uingereza
na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini
Dar es Salaam leo.
Balozi
wa Uingereza nchini, Dianna Melrose (kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, kuhusiana na masuala mbalimbali ya
ushirikiano kati ya nchi yake na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika
ofisi ya Waziri Chikawe, jijini Dar es Salaam leo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment