Shabiki wa timu ya Yanga akiiombea timu yake hiyo, wakati wa mchezo na timu ya Platinum FC ya Zimbabwe, kuwania Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mchezaji Walter Musoma wa Platinum FC ya Zimbabwe (kushoto), akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Amis Tambwe wa Yanga, wakati wa mchezo huo leo, Uwnaja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Ubao wa matangazo ukionesha Yanga bao 1 na Platinum FC 0.
Mchezaji Haruna Niyonzima, wa Yanga, akishangilia bao aliloifungia timu yake wakati wa mchezo huo dhidi ya FC Platinum United ya Zimbabwe, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda mabao 5-1.
Mchezaji Haruna Niyonzima, wa Yanga, akishangilia bao aliloifungia timu yake wakati wa mchezo huo dhidi ya FC Platinum United ya Zimbabwe, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda mabao 5-1.
Wachezaji wa Yanga, wakishangilia moja ya bao la timu hiyo, wakati wa mchezo huo, dhidi ya FC Platinum United ya Zimbabwe, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo.
Ubao wa matangazo ukionesha Yanga mabao 2 na FC Platinum ya Zimbabwe 0.
Mashabiki wa timu ya FC Platinum ya Zimbambwe, wakishangilia bao pekee la timu hiyo, wakati wa mchezo huo jijini leo.
Mashabiki wa timu ya FC Platinum ya Zimbambwe, wakishangilia bao pekee la timu hiyo, wakati wa mchezo huo jijini leo.
Ubao wa matangazo ukionesha Yanga mabao 3 na FC Platinum ya Zimbabwe 1.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo kati ya timu hizo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Amis Tambwe wa Yanga akipiga mpira kwa nguvu zake zote uliozuiwa na Raphael Muduviana wa FC Platinum.
Wachezaji Haruna Niyonzima, Amis Tambwe na Mrisho Ngassa wote wa Yanga, wakishangilia kwa kulia moja ya mabao 5, iliyoshinda timu yao dhidi ya FC Platinum United ya Zimbabwe.
Wachezaji Haruna Niyonzima, Amis Tambwe na Mrisho Ngassa wote wa Yanga, wakishangilia moja ya mabao 5, iliyoshinda timu yao dhidi ya FC Platinum United ya Zimbabwe, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo.
Ubao wa matangazo ukionesha Yanga mabao 4 na Platinum FC ya Zimbabwe bao 1.
Mrisho Ngassa wa Yanga akipiga mpira kuelekea lango la timu ya FC Platinum ya Zimbabwe.
Haruna Niyonzima wa Yanga, akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Gifft Belo wa FC Platinum ya Zimbabwe.
Haruna Niyonzima wa Yanga akijaribu kumtoka Elvis Moyo wa FC Platinum ya Zimbabwe.
Haruna Niyonzima wa Yanga akijaribu kumtoka Elvis Moyo wa FC Platinum ya Zimbabwe.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo dhidi ya FC Platinum ya Zimbabwe jijini Dar es Salaam.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia timu yao hiyo, wakati wa mchezo huo dhidi ya FC Platinum ya Zimbabwe jijini Dar es Salaam.
Mrisho Ngassa akishangilia kwa staili ya aina yake bao lake aliloifungia timu yake hiyo leo.
Mrisho Ngassa akishangilia kwa staili ya aina yake ya kulia bao lake aliloifungia timu yake hiyo leo.
Wachezaji Amis Tambwe na Mrisho Ngassa wote wa Yanga, wakishangilia moja ya mabao 5 ya timu hiyo dhidi ya 1 la timu hiyo ya FC Platinum United ya Zimbabwe, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda mabao 5-1.
Mrisho Ngassa akitakiwa na Refa wa mchezo huo, kurudi uwanjani kuendelea na mchezo baada ya kuifungia timu yake hiyo bao la 5 na la mwisho katika mchezo huo.
Wachezaji wa Yanga wakipongezana baada ya kufunga bao la 5 na la mwisho wakati wa mchezo huo leo.
Hadi mwisho, Yanga ilikuwa imejipatia mabao 5 na Platinum FC ya Zimbabwe bao 1.
Mashabiki wa Yanga wakiserebuka kwa ushindi wa mabao 5-1, wakati wa mchezo huo leo.
Mashabiki wa Yanga wakionesha moja ya mabango yenye ujumbe mbalimbali.

No comments:
Post a Comment