Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akiwa amebebwa na wananchi wake baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika Mji Mdogo wa Mwandiga, katika mkutano huo Zitto alikuwa akiwaaga wananchi wake kuwa hatogombea Ubunge kupitia jimbo hilo. (Picha zote na Mpigapicha Wetu)
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akiwaaga wananchi wa Jimbo lake wakati alipokwenda kuwahutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Mji Mdogo wa Mwandiga, Kigoma leo. Zitto alisema kuwa uchaguzi ujao atagombea jimbo la Kigoma Mjini.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akiwa amebebwa na wananchi wake baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika Mji Mdogo wa Mwandiga, Zitto Kabwe alikuwa akiwaaga wananchi wa Jimbo lake wakati alipokwenda kuwahutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Mji Mdogo wa Mwandiga, Kigoma leo. Zitto aliwaeleza kuwa uchaguzi ujao atagombea jimbo la Kigoma Mjini.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akiwahutubia wananchi wake katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Mji Mdogo wa Mwandiga leo.





No comments:
Post a Comment