TANGAZO


Sunday, March 8, 2015

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania waadhimisha Siku ya Wanawake Duniani

Rais wa Vikoba Tanzania na Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Ruvuma, Devota Likokola akizungumza na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati wa kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, imeadhimishwa leo, Duniani kote. Hafla hiyo imefanyika Makao Makuu ya Kampuni hiyo, Mlimani City jijini Dar es Salaam jana. 
Ofisa Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa, akitoa hotuba wakati kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, imeadhimishwa leo, Duniani kote. Hafla hiyo imefanyika Makao Makuu ya Kampuni hiyo, Mlimani City jijini Dar es Salaam jana. 
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mariedo, Mary Amri, akizungumza na wafanyakazi wa Mtendaji Vodacom Tanzania wakati wa kusherehekea siku ya Wanawake Duniani, imeadhimishwa leo, Duniani kote. Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Kampuni hiyo, Mlimani City jijini Dar es Salaam jana. 
Baadhi ya wageni waalikwa wakimsikiliza kwa makini Ofisa Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa(hayupo pichani)akitoa hotuba wakati kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, imeadhimishwa leo, Duniani kote. Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Kampuni hiyo, Mlimani City jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa kitengo cha Ukusanyaji  wa Malipo ya Fedha kwa wateja wakubwa wa  Vodacom Tanzania, Joan Manda(katikati) akiteta jambo  na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mariedo, Mary Amri, na Ofisa mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa wakati wa kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, Siku hiyo imeadhimishwa leo, Duniani kote. Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Kampuni hiyo, Mlimani City jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment