TANGAZO


Monday, March 9, 2015

Vodacom yazindua ushirikiano na Safaricom ya Kenya kutuma na kupokea pesa kupitia M Pesa

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi wa ushirikiano wa kibiashara katika huduma za kutuma na kupokea pesa kwenda nchini Kenya na Tanzania kupitia M-Pesa na mtandao wa Safaricom wa nchi hiyo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi wa ushirikiano wa kibiashara katika huduma za kutuma na kupokea pesa kwenda nchini Kenya na Tanzania kupitia M-Pesa na mtandao wa Safaricom wa nchi hiyo. 
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa kwenye uzinduzi huo leo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi huo leo.

Mkurugenzi Mifumo ya Malipo wa benki Kuu ya Tanzania (Bot), Bernard Dadi, akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza (kushoto) na Mkurugenzi Mifumo ya Malipo wa benki Kuu ya Tanzania (Bot), Bernard Dadi, wakijadili jambo wakati wa uzinduzi huo leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mifumo ya Malipo wa benki Kuu ya Tanzania (Bot), Bernard Dadi, akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment