TANGAZO


Tuesday, March 31, 2015

Tanzania yawasilisha Ripoti ya Kamati Wataalamu wa Fedha, Uchumi , Mipango na Ushirikiano wa Kikanda katika mkutano wa Mawaziri wa Fedha, Uchumi na Ushirikiano wa Kikanda wa nchi wanachama wa AU na EAC jijini Addis Ababa nchini Ethiopia

Mwenyekiti wa Kamati ya Watalaam wa Fedha, Uchumi, Mipango na Ushirikiano wa Kikanda kwa nchi  wanachama wa AU na EAC Dkt. Hamisi Mwinyimvua ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha akiwasilisha ripoti ya kamati hiyo kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Fedha,Uchumi,Mipango na Ushirikiano wa Kikanda unaoendelea Mjini AddisAbaba –Ethiopia.
Mwenyekiti wa Mkutano wa Mawaziri wa Fedha, Uchumi, Mipango na Ushirikiano wa Kikanda kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) na kamisheni ya Uchumi ya Afrika (EAC) Dkt. Hamisi Mwinyimvua akiongoza Mkutano huo wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya Watalaam kwenye Ukumbi wa ‘United National Conference Centre’ Mjini Addis Ababa – Ethiopia.

No comments:

Post a Comment