TANGAZO

Friday, March 13, 2015

Rais Kikwete awapa pole waathirika wa mvua ya mawe Kahama, mkoani Shinyanga

Rais Jakaya Kikwete akioneshwa na Mkuu wa Wilayani ya Kahama, Benson Mpesya, ziwa la maji yaliyotuama kutokana na mvua ya mawe iliyonyesha na kuleta athari kubwa ya maisha na mali katika Vijiji vitatu vya Kata ya Mwakata, wilayani humo, Mkoa wa Shinyanga, wakati wa ziara maalum ya kutoa pole kwa waathirika wa mvua hiyo jana. 
 Rais Kikwete akitoa pole kwa familia zilizoathirika na mvua hiyo, iliyosababisha upotevu wa maisha ya watu na uharibifu mkubwa wa mali kwenye vijiji vya kata hiyo hivi karibuni.
Rais Kikwete akikagua baadhi ya makazi ya dharura za familia zilizoathirika na mvua hiyo, Kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga jana. 
Rais Kikwete akihutubia mamia ya wananchi baada ya kutembelea na kuzifariji  familia zilizoathirika na mvua hiyo, wilayani Kahama. 
Rais Kikwete akitoa pole kwa familia zilizoathirika na mvua hiyo, iliyosababisha upotevu wa maisha ya watu na uharibifu mkubwa wa mali kwenye vijiji vya kata hiyo hivi karibuni. 
Rais Kikwete akitoa akizungumza na familia zilizoathirika na mvua hiyo, iliyosababisha upotevu wa maisha ya watu na uharibifu mkubwa wa mali kwenye vijiji vya kata hiyo, hivi karibuni, wakati alipofanya ziara maalumu kuwafariji waathirika hao jana.  
Rais Kikwete akiwapa pole baadhi ya waathirika wa mvua hiyo, wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga. 
Rais Kikwete akitoa akizungumza na familia zilizoathirika na mvua hiyo, iliyosababisha upotevu wa maisha ya watu na uharibifu mkubwa wa mali kwenye vijiji vya kata hiyo, hivi karibuni, wakati alipofanya ziara maalumu kuwafariji waathirika hao jana.  
Rais Kikwete akitoa akizungumza na familia zilizoathirika na mvua hiyo, iliyosababisha upotevu wa maisha ya watu na uharibifu mkubwa wa mali kwenye vijiji vya kata hiyo, hivi karibuni, wakati alipofanya ziara maalumu kuwafariji waathirika hao jana. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment