Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Zitto Kabwe akiongoza kikao cha kamati hiyo jijini Dar es Salaam, wakati wa uwasilishi wa hesabu za Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco), lilipowasilisha hesabu zake. Kulia ni Mbunge wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage.
Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco, Dk. Mighanda Manyihi akijitambulisha kwa wajumbe kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) katika kikao cha kuwasilisha hesabu za shirika hilo kilichofanyika jijini Dar es Salaam,kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Mhandisi. Felchesmi Mramba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Mhandisi. Felchesmi Mramba, akijitambulisha kwa wajumbe kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) katika kikao cha kuwasilisha hesabu za shirika hilo kilichofanyika jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco, Dk. Mighanda Manyihi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Mhandisi. Felchesmi Mramba, akiwasilisha ripoti ya hesabu za shirika hilo kwa wajumbe kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) katika kikao cha kilichofanyika jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco, Dk. Mighanda Manyihi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Mhandisi. Felchesmi Mramba, akiwasilisha ripoti ya hesabu za shirika hilo kwa wajumbe kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) katika kikao cha kilichofanyika jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco, Dk. Mighanda Manyihi.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiwa katika kikao cha kamati hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam, ambapo Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco)liliwasilisha ripoti ya hesabu zake.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutoka Sudani Kusini wakifuatilia utendaji kazi wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kwa upande wa Tanzania, katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, ambapo Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco)liliwasilisha ripoti ya hesabu zake.
Wajumbe wa kamati ya kudumu
ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutoka Sudani Kusini wakifuatilia utendaji
kazi wa kamati ya kudumu ya Bunge ya
Hesabu za Serikali (PAC) kwa upande wa Tanzania, katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, ambapo
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco)liliwasilisha ripoti ya hesabu zake. ( Picha zote na Lorietha Laurence-Maelezo)
No comments:
Post a Comment