TANGAZO


Thursday, March 5, 2015

Albino wazichapa kavu kavu nje ya Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wakienda kumuona Rais Kikwete

Nuru Chagutu (kulia), akimvuta Mwenyekiti wake, wakati wa seke seke hilo.
Albino: Nuru Chagutu (kulia), akimtolea maneno Mwenyekiti wake 
Nuru Chagutu (kulia), akimvuta Mwenyekiti wake, ilipotokea kutokuelewana kuhusu uwakilishi wao wa nani aende kuonana na Rais Jakaya Kikwete kuhusu madai yao ya kutaka kuonana naye kuhusiana na saka la utekaji na mauaji ya albino yanayotokea Kanda ya Ziwa.
Hapa Nuru Chagutu (kulia), bado anaonekana akimvuta Mwenyekiti wake suti yake.
 Hapa jamaa anaonekana akiamulia ugomvi huo.
Jamaa akiendelea kuwazuiya vijana hao wasiendelee kumsulubu mwenzao. (Picha zote na Mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment