TANGAZO


Wednesday, February 25, 2015

Wakuu wa Wilaya wapya wala kiapo Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa  akimwapisha mkuu mpya wa Wilaya ya Kondoa Shaaban Kissu (kushoto), sherehe hizo zilifanyika katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma leo. 
Mkuu mpya wa Wilaya ya Mpwapwa, Dk. Jasmin Tiisike akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa leo katika sherehe zilizofanyika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma. (Picha zote na John Banda)

No comments:

Post a Comment