TANGAZO


Friday, February 27, 2015

Wafanyakazi Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo waelezea namna wizara yao inavyoweza kufanikisha mkakati wa Kitaifa kuhusu matumizi ya kondom

Ofisa Tawala wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Mussa Varisanga akielezea jambo wakati wa kikao cha pamoja na washauri kuhusu masuala ya Kondomu wakati wakijadili Mkatati wa Taifa wa Matumizi ya Kondomu unaoratibiwa na TACAIDS leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mshauri wa Kimataifa kutoka Uganda Bw.Moses Muwonge. (Picha zote na Frank Shija, WHVUM)
Mshauri wa Kimataifa kutoka Uganda Bw.Moses Muwonge akizungumza na baadhi ya maafisa wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (hawapo pichani) wakati wa kikao cha pamoja kujadili kuhusu Mkatati wa Taifa wa Matumizi ya Condom unaoratuibiwa na TACAIDS leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mshauri kutoka taasisi ya AMCA Bw. Patrick Kauyamwenge.
Mwakilishi wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) Dkt. Ngaiza Alex akizungumza wakati wa kikao cha pamoja baina ya maafisa kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na washauri kuhusu masuala ya Kondomu wakati wakijadili Mkatati wa Taifa wa Matumizi ya Kondomu unaoratibiwa na TACAIDS leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mshauri wa Kimataifa kutoka Uganda Bw. Moses Muwoge na  Mshauri kutoka taasisi ya AMCA Bw. Patrick Kauyamwenge.
Ofisa Habari wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Zawadi Msalla (katikati) akielezea jambo wakati wa kikao cha pamoja na washauri kuhusu masuala ya Kondomu wakati wakijadili Mkatati wa Taifa wa Matumizi ya Kondomu unaoratibiwa na TACAIDS leo jijini Dar es Salaam. 
Ofisa Tawala wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Mussa Varisanga akielezea jambo wakati wa kikao cha pamoja na washauri kuhusu masuala ya Kondomu wakati wakijadili Mkatati wa Taifa wa Matumizi ya Kondomu unaoratibiwa na TACAIDS leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment