TANGAZO


Wednesday, February 18, 2015

TAARIFA KAMILI YA MABADILIKO YA WAKUU WA WILAYA NA MIKOA NA VITUO VYAO


Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amefanya  mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya ili kuboresha utendaji kazi. Mabadiliko hayo yamezingatia kuwepo kwa nafasi wazi ishirini na saba (27) zilizotokana na:
a)    Kufariki dunia Wakuu wa Wilaya 3;
b)    Kupandishwa cheo Wakuu wa Wilaya 5 kuwa Wakuu wa Mikoa;
c)     Kupangiwa majukumu mengine Wakuu wa Wilaya 7; na
d)   Kutengua uteuzi wa Wakuu wa Wilaya 12.
Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amewateua Wakuu wapya wa Wilaya 27 ili kujaza nafasi hizo wazi.
Aidha, Wakuu wa Wilaya sitini na nne (64) wamebadilishwa vituo vya kazi na Wakuu wa Wilaya arobaini na mbili (42) wameendelea kubaki katika vituo vya sasa.

1)    Wakuu wa Wilaya waliofariki dunia
NA 
JINA
WILAYA

1.
Capt. (mst) James C. Yamungu
Serengeti

2.
Anna J. Magoha
Urambo

3
Moshi M. Chang’a
Kalambo





2)    Wakuu wa Wilaya waliopandishwa cheo
Wakuu wa Wilaya wafuatao wamepandishwa cheo  kuwa Wakuu wa Mikoa
NA 
JINA
WILAYA

MKOA ALIOPANGIWA

1.
John Vianney Mongela
Arusha

Kagera

2.
Amina Juma Masenza
Ilemela

Iringa

3
Dkt. Ibrahim Hamis Msengi
Moshi

Katavi

4
Halima Omari Dendego
Tanga

Mtwara

5
Daudi Felix Ntibenda
Karatu

Arusha



3)    Wakuu wa Wilaya waliopangiwa majukumu mengine
Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa na watapangiwa kazi nyingine ni hawa wafuatao;
NA.
JINA
WILAYA

1
Brig. General Cosmas Kayombo
Simanjiro

2
Col. Ngemela Elson Lubinga
Mlele

3
Juma Solomon Madaha
Ludewa

4
Mercy Emanuel Silla
Mkuranga

5
Ahmed Ramadhan Kipozi
Bagamoyo

6
Mrisho Gambo
Korogwe

7.
Elinas Anael Pallangyo
Rombo





4)    Wakuu wa Wilaya Wanaotenguliwa
Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa kutokana na sababu za umri, kiafya na nyinginezo na vituo vyao ni kama inavyoonekana hapa chini:
NA 
JINA
WILAYA

1.
James Kisota Ole Millya
Longido

2.
Elias Wawa Lali
Ngorongoro

3.
Alfred Ernest Msovella
Kongwa

4.
Dany Beatus Makanga
Kasulu

5.
Fatma Losindilo Kimario
Kisarawe

6.
Elibariki Emanuel Kingu
Igunga

7.
Dr. Leticia Moses Warioba
Iringa

8
Evarista Njilokiro Kalalu
Mufindi

9.
Abihudi Msimedi Saideya
Momba

10.
Martha Jachi Umbula
Kiteto

11
Khalid Juma Mandia
Babati

12
Eliasi Goroi Boe Boe Goroi
Rorya


5)    Wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa
Wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa na Wilaya zao ni  wafuatao;
NA.
JINA
JINSI
WILAYA
1.
Mariam Ramadhani Mtima
KE
Ruangwa
2.
Dkt. Jasmine B. Tiisike
KE
Mpwapwa
3.
Pololeti Mgema
ME
Nachingwea
4.
Fadhili Nkurlu
ME
Misenyi
5.
Felix Jackson Lyaniva
ME
Rorya
6.
Fredrick Wilfred Mwakalebela
ME
Wanging’ombe
7.
Zainab Rajab Mbussi
KE
Rungwe
8.
Francis K. Mwonga
ME
Bahi
9.
Col. Kimiang’ombe Samwel Nzoka
ME
Kiteto
10.
Husna Rajab Msangi
KE
Handeni
11.
Emmanuel Jumanne Uhaula
ME
Tandahimba
12.
Mboni Mhita
KE
Mufindi
13.
Hashim S. Mngandilwa
ME
Ngorongoro
14.
Mariam M. Juma
KE
Lushoto
15.
Thea Medard Ntara
KE
Kyela
16.
Ahmad H. Nammohe
ME
Mbozi
17.
Shaban Kissu
ME
Kondoa
18.
Zelote Stephen
ME
Musoma
19.
Pili Moshi
KE
Kwimba
20.
Mahmoud A. Kambona
ME
Simanjiro
21.
Glorius Bernard Luoga
ME
Tarime
22.
Zainab R. Telack
KE
Sengerema
23.
Bernard Nduta
ME
Masasi
24.
Zuhura Mustafa Ally
KE
Uyui
25.
Paulo Makonda
ME
Kinondoni
26.
Mwajuma Nyiruka
KE
Misungwi
27.
Maftah Ally Mohamed
ME
Serengeti



6)    Wakuu wa Wilaya waliobadilishwa Vituo
Wakuu wa Wilaya wafuatao wamebadilishwa vituo vya kazi kama ifuatavyo;
NA
JINA
JINSIA
WILAYA
ATOKAYO
AENDAYO
1.
Nyerembe Deusdedit Munasa
ME
Arumeru
Mbeya
2
Jordan Mungire Obadia Rugimbana
ME
Kinondoni
Morogoro
3
Fatma Salum Ally
KE
Chamwino
Mtwara
4
Lephy Benjamini Gembe
ME
Dodoma Mjini
Kilombero
5
Christopher Ryoba Kangoye
ME
Mpwapwa
Arusha
6
Omar Shaban Kwaang’
ME
Kondoa
Karatu 
7
Francis Isack Mtinga
ME
Chemba
Muleba

8
Elizabeth Chalamila Mkwasa
KE
Bahi
Dodoma
9
Agnes Elias Hokororo (Mb)

KE
Ruangwa
Namtumbo
10
Regina Reginald Chonjo
KE
Nachingwea
Pangani
11
Husna Mwilima
KE
Mbogwe
Arumeru
12
Gerald John Guninita
ME
Kilolo
Kasulu
13
Bi Zipporah Lyon Pangani
KE
Bukoba
Igunga
14
Col. Issa Suleimani Njiku
ME
Missenyi
Mlele
16
Bw. Richard Mbeho
ME
Biharamulo
Momba
17
Bw. Lembris Marangushi Kipuyo
ME
Muleba

Rombo
18
Ramadhani Athuman Maneno

ME
Kigoma
Chemba
19
Venance Methusalah Mwamoto

ME
Kibondo
Kaliua
20
Gishuli Mbegesi Charles

ME
Buhigwe
Ikungi
21
Novatus Makunga

ME
Hai
Moshi
21
Anatory Kisazi  Choya

ME
Mbulu
Ludewa
22
Christine Solomoni  Mndeme

KE
Hanang’
Ulanga
23
Jackson William Musome

ME
Musoma
Bukoba
24
John Benedict Henjewele

ME
Tarime
Kilosa
25
Dkt. Norman Adamson Sigalla
ME
Mbeya
Songea
26
Dr. Michael Yunia Kadeghe
ME
Mbozi
Mbulu
27
Crispin Theobald Meela
ME
Rungwe
Babati
28
Magreth Ester Malenga
KE
Kyela
Nyasa
29
Said Ali Amanzi

ME
Morogoro
Singida
30
Antony John Mtaka
ME
Mvomero
Hai
31
Elias Choro John Tarimo
ME
Kilosa
Biharamulo
32
Francis Cryspin Miti
ME
Ulanga
Hanang’
33
Hassan Elias Masala

ME
Kilombero
Kibondo
34
Angelina Lubalo Mabula

KE
Butiama
Iringa
35
Farida Salum Mgomi
KE
Masasi
Chamwino
36
Wilman Kapenjama Ndile
ME
Mtwara
Kalambo
37
Ponsian Damiano Nyami
ME
Tandahimba
Bariadi
38
Mariam Sefu Lugaila
KE
Misungwi
Mbogwe
39
Mary Tesha Onesmo
KE
Ukerewe
Buhigwe
40
Karen Kemilembe Yunus
KE
Sengerema
Magu
41
Josephine Rabby Matiro
KE
Makete
Shinyanga
42
Joseph Joseph Mkirikiti
ME
Songea
Ukerewe
43
Abdula Suleiman Lutavi

ME
Namtumbo
Tanga
44
Ernest Ng’wenda Kahindi
ME
Nyasa
Longido
45
Anna Rose Ndayishima Nyamubi
KE
Shinyanga
Butiama
46
Rosemary Kashindi Kirigini (Mb)
KE
Meatu
Maswa
47
Abdallah Ali Kihato
ME
Maswa
Mkuranga
48
Erasto Yohana Sima

ME
Bariadi
Meatu
49
Queen Mwanshinga Mulozi
KE
Singida
Urambo
50
Yahya Esmail Nawanda
ME
Iramba
Lindi
51
Manju Salum Msambya
ME
Ikungi
Ilemela
52
Saveli Mangasane Maketta
ME
Kaliua
Kigoma
53
Bituni Abdulrahman Msangi

KE
Nzega
Kongwa
54
Lucy Thomas Mayenga

KE
Uyui
Iramba
55
Majid Hemed Mwanga
ME
Lushoto
Bagamoyo
56
Muhingo Rweyemamu
ME
Handeni
Makete
57
Hafsa Mahinya Mtasiwa
KE
Pangani
Korogwe
58
Dr. Nasoro Ali Hamidi
ME
Lindi
Mafia
59
Festo Shemu Kiswaga
ME
Nanyumbu
Mvomero
60
Sauda Salum Mtondoo
KE
Mafia
Nanyumbu
61
Seleman Mzee Seleman
ME
Kwimba
Kilolo
62
Esterina Julio Kilasi
KE
Wanging’ombe
Muheza
63
Subira Hamis Mgalu
KE
Muheza
Kisarawe
64
Jacqueline Jonathan Liana
KE
Magu
Nzega

7)    Wakuu wa Wilaya wanaobaki katika vituo vyao vya sasa
Wakuu wa Wilaya wafuatao wanaendelea kubaki katika vituo vyao vya sasa;
NA
JINA
JINSIA
WILAYA
1
Jowika Wilson Kasunga
ME
Monduli
2
Raymond Hieronimi Mushi
ME
Ilala
3
Sophia Edward Mjema
KE
Temeke
4
Bw. Amani Kiungadua Mwenegoha
ME
Bukombe
5
Bw. Ibrahim Wankanga Marwa
ME
Nyang’wale
6
Bw. Rodrick Lazaro Mpogolo
ME
Chato
7
Bw. Manzie Omar Mangochie
ME
Geita
8
Bi. Darry Ibrahim Rwegasira
KE
Karagwe
9
Lt. Col. Benedict Kulikila Kitenga
ME
Kyerwa
10
Constantine John Kanyasu
ME
Ngara 
11
Paza Tusamale Mwamulima
ME
Mpanda
12
Peter Toima  Kiroya
ME
Kakonko
13
Hadija Rashid Nyembo
KE
Uvinza
14
Dkt. Charles O. Mlingwa
ME
Siha
15
Shaibu Issa Ndemanga
ME
Mwanga
16
Herman Clement Kapufi
ME
Same
17
Ephraim Mfingi Mbaga
ME
Liwale
18
Abdallah Hamis Ulega
ME
Kilwa
19
Joshua Chacha Mirumbe
ME
Bunda
20
Deodatus Lucas Kinawiro
ME
Chunya
21
Rosemary Staki Senyamule
KE
Ileje
22
Gulamhusein Kifu Shaban
ME
Mbarali
23
Christopher Edward Magala

ME
Newala
24
Baraka Mbike Konisaga

ME
Nyamagana
25
Sarah Philip Dumba

KE
Njombe
26
Hanifa Mahmoud Karamagi

KE
Gairo
27
Halima Meza Kihemba
KE
Kibaha
28
Nurdin Babu
ME
Rufiji
29
Mathew  Sarja Sedoyeka
ME
Sumbawanga
30
Idd Hassan Kimanta
ME
Nkasi
31
Chande Bakari Nalicho
ME
Tunduru
32
Bibi Senyi Simon Ngaga
KE
Mbinga
33
Wilson Elisha Nkambaku
ME
Kishapu
34
Benson Mwailugula Mpesya
ME
Kahama
35
Paul Chrisant Mzindakaya
ME
Busega
36
Georgina Elias Bundala
KE
Itilima
37
Fatuma Hassan Toufiq

KE
Manyoni
38
Lt. Edward Ole Lenga
ME
Mkalama
39
Hanifa Mohamed Selengu

KE
Sikonge
40
Suleman Omar Kumchaya
ME
Tabora

41
Mboni Mwanahamis Mgaza
KE
Mkinga
42
Seleman Salum Liwowa
ME
Kilindi

Mabadiliko haya yameanza tarehe 18.02.2015 na ninawatakia wote utendaji kazi mahiri.


                     Mizengo K. P. Pinda

18.02.2015                                           WAZIRI MKUU

No comments:

Post a Comment