Skauti wa Shule ya Sekondari ya Lord Baden Powel, wakitumbuiza kwa nyimbo za kwaya wakati wa maadhinisho ya kuzaliwa Mwanzilishi wa Skauti duniani, Lord Baden Powell, viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Kamishna Mkuu wa chama hicho, Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah, akizungumza katika maadhimisho hayo.
Rais wa Chama cha Skauti Tanzania, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, akizungumza katika maadhimisho hayo.

Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika maadhimisho ya Siku ya Skauti duniani, siku aliyozaliwa mwazilishi wa uskauti duniani, Lord Baden-Powell, viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Rais wa Chama cha Skauti Tanzania, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa na kulia ni Kamishna Mkuu wa chama hicho, Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah.

Mgeni rasmi, Makamu wa Rais, Dk. Ghrib Bilal akiwa katika picha mbalimbali za pamoja katika maadhimisho hayo.
Mgeni rasMgeni rasmi, Makamu wa Rais, Dk. Ghrib Bilal akiwa katika picha mbalimbali za pamoja katika maadhimisho hayo.
Mgeni rasmi, Makamu wa Rais, Dk. Ghrib Bilal akiwa katika picha mbalimbali za pamoja katika maadhimisho hayo.
Mgeni rasmi, Makamu wa Rais, Dk. Ghrib Bilal akiwa katika picha mbalimbali za pamoja katika maadhimisho hayo.
Mgeni rasmi, Makamu wa Rais, Dk. Ghrib Bilal akiwa katika picha mbalimbali za pamoja katika maadhimisho hayo.
Mgeni rasmi, Makamu wa Rais, Dk. Ghrib Bilal akiwa katika picha mbalimbali za pamoja katika maadhimisho hayo.
Kikundi cha Jeshi la Magereza kikitumbuiza katika maadhimisho hayo.
Vijana wakiwa katika maadhimisho hayo leo.
Skauti wakifuatlia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakitokea katika maadhimisho hayo.
Vijana wakifuatilia shughuli mbalimbali zilizokuwa zikifanyika viwanjani hapo.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakiwa katika maadhimisho hayo.
Vijana wakiwa katika maadhimisho hayo.
No comments:
Post a Comment