TANGAZO


Friday, February 27, 2015

Ajali ya Ndege vita ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania jijini Mwanza leo

Picha mbalimbali za ajali ya Ndege vita ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), baada ya kudondoka na kushika moto kutokana kuingia ndege kiumbe kwenye moja ya injini yake na kuanza kushika moto, ambapo rubani wa ndege hiyo, alijiokoa kwa kutumia parachuti kutokana na maelezo yaliyotolewa na Kaimu Msemaji wa JWTZ, Meja Joseph Masanja leo, Makao Makuu ya jeshi, jijini Dar es Salaam.
 Maofisa wa Jeshi la Wananchi wakiangalia ndege hiyo baada ya kudondoka na kuungua.
 Maofisa wa Jeshi la Wananchi wakiangalia ndege hiyo baada ya kudondoka na kuungua. 
 Mabaki ya ndege vita ya JWTZ jijini Mwanza.
 Mabaki ya ndege hiyo.


 Maofisa wa JWTZ, wakiwa kwenye eneo la ajali hiyo.
 Mabaki ya ndege hiyo yakiwa kwenye sehemu iliyotokea ajali hiyo jijini Mwanza.
Ndege vita ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ikiungua baada ya kudondoka kutokana kuingia ndege kiumbe kwenye moja ya injini yake na kuanza kushika moto, ambapo rubani wa ndege hiyo, alijiokoa kwa kutumia parachuti kutokana na maelezo yaliyotolewa na Kaimu Msemaji wa JWTZ, Meja Joseph Masanja leo, Makao Makuu ya jeshi, jijini Dar es Salaam.
Kaimu Msemaji wa JWTZ, Meja Joseph Masanja akitoa taarifa ya ajali ya ndege hiyo leo, mbele ya waandishi wa habari, Makao Makuu ya jeshi, jijini Dar es Salaam. 
Kaimu Msemaji wa JWTZ, Meja Joseph Masanja akitoa taarifa ya ajali ya ndege hiyo leo, mbele ya waandishi wa habari, Makao Makuu ya jeshi, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Habari Makao Makuu JWTZ, Meja Mbota Amani.
Kaimu Msemaji wa JWTZ, Meja Joseph Masanja akitoa taarifa kuhusu ajali ya ndege hiyo leo, Makao Makuu ya jeshi, Upanga, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Habari Makao Makuu JWTZ, Meja Mbota Amani. 
Taarifa kamili iliyotolewa na JWTZ Makao Makuu, jijini Dar es Salaam leo kuhusu ajali hiyo. (Picha na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment