Mashabiki wa timu ya Simba wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo na JKT Ruvu Stars FC, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Katika mchezo huo, Simba imeshinda mabao 2-1. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Ramadhan Shamte wa JKT Ruvu akimtoka Emanuel Okwi wa Simba, wakati wa mchezo huo.
Ramadhan Shamte wa JKT Ruvu akipambana na Emanuel Okwi wa Simba, wakati wa mchezo huo.
Emanuel Okwi wa Simba akimnyanganya mpira Ramadhan Shamte wa JKT Ruvu katika mchezo huo.
Emanuel Okwi wa Simba, akishikiliwa na Ramadhan Shamte wa JKT Ruvu.
Emanuel Okwi wa Simba, akiudhibiti mpira uliokuwa ukiwaniwa na Ramadhan Shamte wa JKT Ruvu.
Renatus Morris wa JKT Ruvu, akiwania mpira na Ibrahim Ajib wa Simba wakati wa mchezo huo leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mashabiki wa timu ya Simba wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo na JKT Ruvu Stars FC, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Ibrahim Ajib wa Simba, akiudhibiti mpira huku golikipa Benjamin Haule wa JKT Ruvu akijaribu kuundoa miguuni mwake.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la pili la timu hiyo, lililofungwa na Dan Sserunkuma dhidi ya JKT Ruvu Stars FC, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Simba ilishinda mabao 2-1.

No comments:
Post a Comment