TANGAZO


Saturday, January 24, 2015

Mke wa Waziri Mkuu Pinda, Mama Tunu Pinda atunukiwa Shahada ya Uzamili ya Usamamizi Miradi na Chuo Kikuu Huria Tanzania

Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dkt. Asharose Migiro, akimtunuku shahada ya uzamili ya usimamizi wa miradi mke wa waziri mkuu mama Tunu Pinda katika mahafali ya 27 yaliyofanyika mjini Dodoma leo. Kushoto anayeshuhudia ni Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Tolly Mbwete. (Picha zote na Chriss Mfinanga)
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dkt. Asharose Migiro, akimtunuku shahada ya uzamili ya usimamizi wa miradi mke wa Waziri Mkuu mama Tunu Pinda katika mahafali ya 27 yaliyofanyika mjini Dodoma leo. Kushoto anayeshuhudia ni Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Tolly Mbwete.
Mke wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, mama Tunu Pinda baada ya kutunikiwa shahada ya uzamili ya usimamizi wa miradi katika mahafali ya 27 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania mjini Dodoma leo. 
Wanafamilia wakimvisha maua kwa kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Usamamizi Miradi ya Chuo Kikuu Huria Tanzania mjini Dodoma leo.
Kikundi cha wake wa viongozi kutoka Dar es Salaam kikimpongeza mlezi wao, Mama Tunu Pinda kwa kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Usamamizi Miradi ya Chuo Kikuu Huria Tanzania katika mahafali ya 27 yaliyofanyika Mjini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mama Mashiba, Mama Lukuvi na Mama Malima. 

No comments:

Post a Comment