TANGAZO


Friday, January 2, 2015

Kombe la Mapinduzi Mtende na KMKM zatoka sare ya 0-0

Kikosi cha timu ya Mtende kinachoshiriki Kombe la Mapinduzi iliotoana jasho na Timu ya KMKM Jioni hii na kutoka sare ya 0-0. (Picha zote kwa hisani ya Zanzinews blog)
Kikosi cha timu ya KMKM Kinachoshiriki Kombe la Mapinduzi iliotoana jasho na Timu ya KMKM Jini hii na kutoka sare ya 0-0. 















No comments:

Post a Comment