TANGAZO


Friday, January 30, 2015

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara afunga kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano

Wawasilishaji kutoka kampuni ya PUSH OBSERVER wakiwaeleza maafisa mawasiliano huduma wanazotoa ikiwamo ufuatiliaji wa taarifa mbalimbali kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii pia utoaji wa taarifa wa jumbe kupitia mitandao ya simu (Bulk messages) 
Wawasilishaji kutoka kampuni ya PUSH OBSERVER wakiwaeleza maafisa mawasiliano huduma wanazotoa ikiwamo ufuatiliaji wa taarifa mbalimbali kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii pia utoaji wa taarifa wa jumbe kupitia mitandao ya simu(Bulk messages) 
Mwenyekiti wa Muda wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini(TAGCO) Bw. Innocent Mungy akitoaa taarifa futi ya utekelezaji wa kazi wa chama hicho kwa Maafisa Mawasiliano wakati wa ufungaji wa kikao kazi cha Maafisa ha oleo Mkoani Mtwara.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiwaeleza Maafisa Mawasiliano Serikalini umuhimu wa kuwa na ushirikiano na vyombo vya Habari kwa dhumuni la kuieleza jamii nini serikali inakifanya, pia aliwataka kuendelea kuongeza juhudi katika utendaji kazi kupitia mafunzo waliyoyapata katika kikao kazi hiki.
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara Bw.Johansen Bukwari akiongea na Maafisa Mawasiliano Serikalini ambapo alisisitiza umuhimu wa Maafisa Mawasiliano kutoa taarifa za Serikali kwa Umma.
Afisa Mawasiliano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw. Atley Kuni akitoa neno la Shukrani kwa Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Bw.Johansen Bukwari.
Baadhi ya Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakiwa katika picha ya Pamoja na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara Bw. Bw.Johansen Bukwari (aliyevaa Kaunda suti) kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo), Bw. Assah Mwambene.(Picha zote na Hassan Silayo)

No comments:

Post a Comment