TANGAZO


Friday, December 26, 2014

Simba yakubali kichapo cha bao 1 mbele ya Kagera Sugar Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, kati ya timu hiyo na Kagera Sugar, uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Katika mchezo huo, Simba ilikubali kichapo cha bao 1-0. (Picha na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Ubao wa matangazo ukionesha Simba 0 Kagera Sugar 1.
 Wachezaji wa Simba na Kagera Sugar, wakiwania mpira wa juu.
Benjamin Asukile wa Kagera Sugar, akiutoa mpira miguuni mwa Kessy Ramadhan wa Simba wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Katika mchezo huo, Kagera Sugar ilishinda bao 1-0.
Kessy Ramadhan wa Simba akimtoka Benjamin Asukile wa Kagera Sugar, wakati wa mchezo huo.
Benjamin Asukile wa Kagera Sugar na Kessy Ramadhan wa Simba, wakiwa wamedondoka chini wakati wakiwania mpira.
 Simon Serunkuma wa Simba akimtoka Babu Ali Seif wa Kagera Sugar, wakati wa mchezo huo.
Wachezaji Kessy Ramadhan wa Simba (kushoto) na Benjamin Asukile wa Kagera Sugar, wakiukimbilia mpira wa juu uliokuwa ukielekea kwenye lango la Kagera Sugar, wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Kagera Sugar ilishinda bao 1-0.
Wachezaji Kessy Ramadhan wa Simba (kushoto) na Benjamin Asukile wa Kagera Sugar, wakiwania mpira.
 Benjamin Asukile wa Kagera Sugar, akimtoka Kessy Ramadhan wa Simba.
 Kessy Ramadhan wa Simba na Benjamin Asukile wa Kagera Sugar, wakiwania mpira.
 Kessy Ramadhan wa Simba na Benjamin Asukile wa Kagera Sugar, wakiwania mpira.
 Benjamin Asukile wa Kagera Sugar, akijaribu kumpiga chenga Kessy Ramadhan wa Simba. 
 Benjamin Asukile wa Kagera Sugar, akiuondoa mpira huku ukizuiwa na Kessy Ramadhan wa Simba. 
 Simon Serunkuma wa Simba akiruka juu kuupiga mpira kichwa.
 Aboubakari Mtiro wa Kagera Sugar, akilala kuuondoa mpira miguuni mwa Emmanuel Okwi wa Simba.
 Kessy Ramadhan wa Simba, akitafuta mbinu ya kumtoka Atupele Green wa Kagera Sugar.
 Kessy Ramadhan wa Simba, akipiga mpira mbele ya Atupele Green wa Kagera Sugar.
Ubao wa Matangazo ukionesha Kagera ikiongoza kwa bao 1 dhidi ya Simba.
Wachezaji Elius Maguri wa Simba (kulia) na George Kavila wa Kagera Sugar, wakikimbilia mpira.
Wachezaji Elius Maguri wa Simba (kulia) na George Kavila wa Kagera Sugar, wakiufuata mpira. 

 Wachezaji Elius Maguri wa Simba (kulia) na George Kavila wa Kagera Sugar, wakiufuata mpira. 
Kessy Ramadhan wa Simba, akiuondoa mpira mbele ya George Kavila.

No comments:

Post a Comment