Simon Serunkuma wa Simba akijaribu kumtoka Kelvin Yondani wa Yanga
Simon Serunkuma wa Simba akipambana na Kelvin Yondani wa Yanga.
Kelvin Yondani wa Yanga, akijaribu kuudhibiti mpira huku akifuatwa na Simon Serunkuma wa Simba wakati wa mchezo huo.
Kelvin Yondani wa Yanga, akiwania mpira na Elias Maguri wa Simba.
Wachezaji wa Simba wakiswali, kufurahia bao la kwanza lililofungwa na Awadh Juma wa timu hiyo.
Wachezaji wa Simba wakifurahia bao hilo.

Ubao wa matangazo ukionesha matokeo ya awali ya mchezo huo.
Hassan Dilunga wa Yanga akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo.
Ubao wa Matangazo ukionesha bao la pili la Simba, lililofungwa na Elias Maguri wa timu hiyo.
Mashabiki wa Simba wakiwadhihaki wenzao wa Yanga kwa kuwaonesha mfano wa jembe.
Shabiki wa Simba akiwa amebeba mwanasesere kuwakoga Yanga.
Mashabiki wa Simba, wakiwa wamebeba jeneza kuwadhihaki watani zao Yanga.

Elias Maguri wa Simba (nyuma), akikimbia na mpira kuelekea kwenye goli la Yanga.
Juma Abdul wa Yanga na Emmanuel Okwi wa Simba wakiwania mpira wa juu.
Emmanuel Okwi wa Simba akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Silim Telela wa Yanga.

Hassan Dilunga wa Yanga akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Said Ndemla wa Simba.
Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo huo.
Muda ukiwa umeisha, ubao wa matangazo ukionesha dakika ya 48 ya kipindi cha pili huku mabao yakiwa ni Simba 2 Yanga 0.
Mashabiki wa Simba wakiripuka kwa furaha baada ya kipenga cha mwisho kupulizwa huku timu yao ikiwa imeshinda mchezo huo kwa mabao 2-0.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akijiandaa kuusaini mpira ulioshikiliwa na mwamuzi wa mchezo huo, Jonesia Rukyaa kutoka Bukoba.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akiusaini mpira ulioshikiliwa na mwamuzi wa mchezo huo, Jonesia Rukyaa kutoka Bukoba.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akiwavalisha medali wachezaji wa Yanga.

Kiongozi wa TBL, akiwavalisha medali za dhahabu kwa wachezaji wa Simba.

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jmali Malinzi akimkabidhi mfano wa hundi ya sh. milioni 2.410, Nahodha wa Yanga, Haruna Niyonzima, ikiwa ni zawadi baada ya kuibuka mshindi wa pili katika shindano la kutuma ujumbe mfupi wa simu (sms) ya Nani Mtani Jembe.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akimkabidhi mfano wa hundi ya sh. milioni 77.590, Nahodha wa Simba, Emmanuel Okwi, ikiwa ni zawadi baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika shindano la kutuma ujumbe mfupi wa simu (sms) ya Nani Mtani Jembe.

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamali Malinzi akimkabidhi mfano wa hundi ya sh. milioni 5, Nahodha wa Yanga, Haruna Niyonzima, ikiwa ni zawadi baada ya kuibuka mshindi wa pili katika mchezo huo wa Nani Mtani Jembe.Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamali Malinzi akimkabidhi mfano wa hundi ya sh. milioni 5, Nahodha wa Yanga, Haruna Niyonzima, ikiwa ni zawadi baada ya kuibuka mshindi wa pili katika mchezo huo wa Nani Mtani Jembe.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamali Malinzi akimkabidhi Kombe Nahodha wa Yanga, Haruna Niyonzima, baada ya kuibuka mshindi wa pili katika mchezo huo wa Nani Mtani Jembe.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akimkabidhi mfano wa hundi la sh. miloni 15, Nahodha wa Simba, Emmanuel Okwi, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika mchezo huo wa Nani Mtani Jembe.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akimkabidhi Kombe Nahodha wa Simba, Emmanuel Okwi, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika mchezo huo wa Nani Mtani Jembe.

Nahodha wa Simba, Emmanuel Okwi, akilibusu Kombe la mshindi wa Nani Mtani Jembe.
Wachezaji wa Simba wakishangilia na kombe la Nani Mtani Jembe baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara.

Wachezaji wa Simba wakipiga picha na kombe la Nani Mtani Jembe baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara.

Mchezaji wa Simba, Awadhi Juma akipiga picha na kombe la Nani Mtani Jembe.

No comments:
Post a Comment