TANGAZO


Wednesday, December 10, 2014

Simba mazoezini Zanzibar kujiandaa na mchezo wa Nani Mtani Jembe dhidi ya Yanga

Wapenzi wa timu ya Simba wakifuatiliama mazoezi ya timu yao ikiwafa katika uwanja wa amaan, Unguja wakijiandaa na mchezo wao wa Mtani Jembe na Wapizani wao timu ya Yanga. Simba imejichimbia Zenj ikijiandaa na mchezo huo ikiwa chini ya Kocha wake Mkuu kutoka Zambia Patrick Phiri.(Picha zote na Othman Maulid wa ZanziNews Blog)
Wachezaji wa timu ya Simba wakiwa katika uwanja wa amaan wakiwa katika mazoezi yao ya kujiandaa na mchezo wao wa Mtani Jembe unaotarajiwa kjufanyika hivi karibuni jijini Dar katika uwanja wa Taifa, Wakimsikiliza Kocha wao Patrick Phiri, mwenye jaketi jekundu akitowa maelekezo kwa wachezaji wake.  
Kocha wa Simba, Patrick Phiri akitowa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika katika uwanja wa amaan Zenj. walikojichimbia kujifua na mazoezi makali kwa timu hiyo yanayofanyika katika nyakati za asubuhi na jioni katika viwanja tafauti.

Vifaa vya timu ya Simba wakipata mazoezi mepesimepesi katika uwanja wa amaan.
 Kocha Patrick Phiri akifuatilia mazoezi hayo yanayoendelea katika uwanja wa amaan.

No comments:

Post a Comment