Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa, akikaribishwa nyumbani na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi mstaafu Ali Ameir Mohamed alipomtembelea nyumbani kwake kumjulia hali eneo la Kichaviani, Jimbo la Donge, Zanzibar leo. Mhe. Lowassa yuko
visiwani Zanzibar kwa mapumziko ya Krismasi.
Mazungumzo ya Lowassa na Ameir Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa (kushoto), akielezwa jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani wa zamani, Ali Ameir Mohamed wakati Lowassa alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kichaviani, Jimbo la Donge, Zanzibar kumjulia hali leo.
Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa, akimuaga Waziri wa
Mambo ya Ndani ya nchi mstaafu Ali Ameir Mohamed alipomtembelea nyumbani
kwake kumjulia hali eneo la Kichaviani, Jimbo la Donge, Zanzibar leo. Mhe. Lowassa yuko
visiwani Zanzibar kwa mapumziko ya Krismasi. (Picha zote na Mpigapicha Wetu, Zanzibar)
No comments:
Post a Comment