Mchezaji wa Simba Jonas Mkude, akishuka kwenye gari lake kwenda kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuichezea timu yake hiyo, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mchezaji wa Simba Jonas Mkude, akitoka kwenye gari lake kwenda kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuichezea timu yake hiyo.
Mchezaji wa Simba Jonas Mkude, akisaini mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuichezea timu yake hiyo, mbele ya Rais wa Klabu, Evans Aveva (katikati) na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Zakaria Hanspop, Dar es Salaam leo.

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva (katikati), akimkabidhi mkataba wa miaka miwili Jonas Mkude (kulia), mara baada ya kuusaini mbele yake na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Zakaria Hanspop (kushoto), Dar es Salaam leo.
Mkude akizungumza katika hafla hiyo.
Wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari,wakichukua tukio hilo.
Mkude akiusoma mkataba wake huo.
Waandishi wa habari wakichukua habari wakichu wakati wa kusaini mkataba huo.
Wapiga picha wa vituo mbalimbali vya televisheni wakichukua matukio hayo.
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Mchezaji wa Simba Jonas Mkude, akikabidhiwa mkataba wake wa miaka miwili wa kuendelea kuichezea timu yake hiyo, baada ya kuusaini jijini Dar es Salaam leo.

No comments:
Post a Comment