Mratibu wa mbio za Uhuru Marathon, Innocent Melleck (katikati), akionesha moja ya fomu za washiriki wambio za Uhuru Marathon, wakati alipokuwa akizungumza katika hafla ya kukabidhi fedha za ada ya kuandaa mashindano ya mbio hizo, Dar es Salaam leo, zitakazofanyika Desemba 9, mwaka huu, jijini. Kulia ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui na kushoto ni Mjumbe wa Chama cha Riadha Mkoa wa Dar es Salaam, Tulo Chambo.
Mratibu wa mbio za Uhuru Marathon, Innocent Melleck (katikati), akizungumza katika hafla ya kukabidhi fedha za ada ya kuandaa mashindano ya mbio za Uhuru Marathon, Dar es Salaam leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui na kushoto ni Mjumbe wa Chama cha Riadha Mkoa wa Dar es Salaam, Tulo Chambo.Wapiga picha wa vituo mbalimbali vya televisheni wakichukua matukio hayo.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, akizungumza katika hafla hiyo.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, akizungumza katika hafla hiyo.
Mjumbe wa Chama cha Riadha Mkoa wa Dar es Salaam, Tulo Chambo, akizungumza katika hafla hiyo.
Mratibu wa mbio za Uhuru Marathon, Innocent Melleck (kushoto), akikabidhi sh. milioni 2 kwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, Dar es Salaam leo, ikiwa ni ada ya kuandaa mbio hizo, zitakazofanyika Desemba 9, mwaka huu, jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa mbio za Uhuru Marathon, Innocent Melleck (katikati), akikabidhi sh. milioni 2 kwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, Dar es Salaam leo, ikiwa ni ada ya kuandaa mbio hizo. Kushoto ni Mjumbe wa Chama cha Riadha Mkoa wa Dar es Salaam, Tulo Chambo.
Mratibu wa mbio za Uhuru Marathon, Innocent Melleck (kulia), akikabidhi sh. milioni 1 kwa Mjumbe wa Chama cha Riadha Mkoa wa Dar es Salaam, Tulo Chambo, ikiwa ni ada ya kuandaa mashindano ya mbio hizo. Katikati ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui.
Wapiga picha wa vituo mbalimbali vya televisheni wakichukua matukio hayo.

No comments:
Post a Comment