TANGAZO


Wednesday, November 12, 2014

Msanii nyota wa muziki wa Kizazi Kipya Tanzania Nasseb Abdul 'Diamond Platnamuz' atembelea Ofisi za Jambo Leo

Msanii wa maarufu wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Nasseb Abdul 'Diamond Platnamuz' (aliyevaa kofia katikati), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi na waandishi wa habari wa magazeti ya Jambo Leo na StaaSpoti alipotembelea Kampuni inayochapisha magazeti hayo ya Jambo Concepts Tanzania Limited (JCTL), Dar es Salaam.(Picha zote na Kassim Mbarouk wa bayana blogspot, Richard Mwaikenda wa Kamanda wa Matukio blogspot)
 Mhariri Mtendaji wa gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwessa akimkabidhi Diamond gazeti la Jambo Leo
Diamond akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wasichana wa kampuni hiyo
Diamond akijadiliana jambo na Mmiliki wa Blogu hii ambaye pia ni Mpigapicha Mkuu wa magazeti ya Jambo Leo na StaaSpoti, Richard Mwaikenda.
Mkurugenzi wa JCTL, Benny Kisaka akimtambulisha Diamond kwa wanahabari
 Diamond akijibu baadhi ya maswali aliyoulizwa.
Diamond akiwa katika pozi tofauti wakati akisikiliza na kujibu baadhi ya maswali aliyoulizwa na waandishi wa habari wa magazeti ya Jambo Leo.




Meneja wa Diamond, Babu Tale.


Diamond akisoma gazeti la Jambo Leo.


 Diamond akiwa na  msanifu wa magazeti hayo, Hamza.
Diamond akiwa na Kassim Mbarouk ambaye ni mmiliki wa Blogu ya Bayana na Mpigapicha mwandamizi wa magazeti hayo.

Diamond akiwa na Mkurugenzi wa JCTL, Benny Kisaka.

No comments:

Post a Comment