TANGAZO


Friday, October 3, 2014

Taswa yapigwa jeki na IPTL Tuzo za Wanamichezo Bora wa mwaka 2014

Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh (kulia), akimweleza jambo Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto, wakati alipokuwa akiwatembeza waandishi wa michezo kwenye maeneo ya mitambo hiyo ya kuzalisha umeme nchini. Mwenyekiti huyo wa IPTL alikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 20, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto, ikiwa ni mchango wa kampuni hiyo katika kusaidia utoaji Tuzo za wanamichezo bora nchini. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh (kulia), akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto, wakati alipokuwa akiwatembeza waandishi wa michezo maneo ya IPTL juzi. 
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh (mbele), akiwapeleka waandishi wa habari za michezo kwenye mitambo ya kuzalishai umeme wakati walipofika kwa ajili ya makabidhiano ya hundi yenye thamani ya sh. milioni 20, kwa Chama hicho, ili kusaidia utoaji Tuzo za wanamichezo bora nchini. 
Mitambo ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), kama inavyoonekana ikiwa kazini juzi. 
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 20, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto, ikiwa ni mchango wa kampuni hiyo katika kusaidia utoaji Tuzo za wanamichezo bora nchini. Wapili kulia ni Mshauri Mkuu na Mwanasheria wa IPTL, Joseph Makandege na wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Taswa, Amir Mhando.
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh (kushoto), akimkabidhi hundi hiyo, yenye thamani ya sh. milioni 20, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto, ikiwa ni mchango wa kampuni hiyo katika kusaidia utoaji Tuzo za wanamichezo bora nchini. Katikati ni Mshauri Mkuu na Mwanasheria wa IPTL, Joseph Makandege
Waandishi wakitembelea sehemu mbalimbali za kampuni hiyo juzi kuangalia shughuli za uzalishaji umeme kwenye mashine za kampuni hiyo juzi.
Waandishi wakitembelea sehemu mbalimbali za kampuni hiyo juzi kuangalia shughuli za uzalishaji umeme kwenye mashine za kampuni hiyo juzi.
Waandishi wakitembelea sehemu mbalimbali za kampuni hiyo juzi kuangalia shughuli za uzalishaji umeme kwenye mashine za kampuni hiyo juzi.
Mshauri Mkuu na Mwanasheria wa IPTL, Joseph Makandege, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kukabidhi hudi ya sh. milioni 20, kusaidia Tuzo za Mwanamichezo bora wa Taswa.
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kukabidhi hudi ya sh. milioni 20, kusaidia Tuzo za Mwanamichezo bora wa Taswa.
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kukabidhi hudi ya sh. milioni 20, kusaidia Tuzo za Mwanamichezo bora wa Taswa.

No comments:

Post a Comment