TANGAZO

Thursday, October 2, 2014

Amref kuandaa chakula cha hisani Oktoba 9 Hoteli ya Serena kuchangia mafunzo ya wakunga nchini Tanzania

Meneja Mradi Uboreshaji wa Uzazi Salama wa Chama cha Wakunga Tanzania (Tama), Martha Rimoy, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati Taasisi ya Amref Health Africa, ilipokuwa ikielezea kuhusu kuandaa chakula cha hisani, Oktoba 9, Hoteli ya Serena, kwa ajili kuchangisha fedha za kufundishia wakunga ili kuokoa afya ya  mama na mtoto, katika kampeni ijulikanayo kama 'Stand up for African Mother'. Wapili ni Mkurugenzi Mkazi wa taasisi hiyo, Dk. Festus Ilako, Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benk M, wafadhili wa kampeni hiyo, Jacquelin Woiso na Naibu Mkurugenzi wa Amref Health Africa Tanzania, Dk. Rita Noronha. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Meneja Mradi Uboreshaji wa Uzazi Salama wa Chama cha Wakunga Tanzania (Tama), Martha Rimoy, akizungumza wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati Taasisi ya Amref Health Africa, ilipokuwa ikielezea kuhusu kuandaa chakula cha hisani, Oktoba 9, Hoteli ya Serena, kwa ajili kuchangisha fedha za kufundishia wakunga ili kuokoa afya ya  mama na mtoto. Wapili ni Mkurugenzi Mkazi wa taasisi hiyo, Dk. Festus Ilako na Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benk M, wafadhili wa kampeni hiyo, Jacquelin Woiso.
Mkurugenzi Mkazi wa Amref Africa nchini, Dk. Festus Ilako, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu hafla ya chakula cha hisani, itakayofanyika Oktoba 9, Hoteli ya Serena, ili kuchangisha fedha za kufundishia wakunga kwa ajili afya ya  mama na mtoto, katika kampeni ijulikanayo kama 'Stand up for African Mother'. Kulia ni Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benk M, mmoja wa wafadhili wa kampeni hiyo, Jacquelin Woiso.
Mwandishi Mwandamizi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten, David Ramadhan, akiuliza swali kwa Mkurugenzi Mkazi wa Amref Health Africa, Dk. Festus Ilako (hayupo pichani), wakati wa mkutano huo. 
Dk. Ilako akijibu swali aliloulizwa na mwandishi mwandamizi wa Chanel Ten, David Ramadhan, wakati wa mkutano huo.
Wapigapicha wa Televisheni mbalimbali wakiwa kazini wakati wa mkutano huo, Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Maofisa wa Amref Health Africa, wakiwa kwenye mkutano huo.
Mkurugenzi Mkazi wa Amref Africa nchini, Dk. Festus Ilako, akifafanua jambo, wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu hafla ya chakula cha hisani, itakayofanyika Oktoba 9, Hoteli ya Serena, ili kuchangisha fedha za kufundishia wakunga kwa ajili afya ya  mama na mtoto, katika kampeni ijulikanayo kama 'Stand up for African Mother'. Kushoto ni Meneja Mradi Uboreshaji wa Uzazi Salama wa Chama cha Wakunga Tanzania (Tama), Martha Rimoy, Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benk M, mmoja wa wafadhili wa kampeni hiyo, Jacquelin Woiso (watatu) na Naibu Mkurugenzi wa Amref Health Africa Tanzania, Dk. Rita Noronha.

Naibu Mkurugenzi wa Amref Health Africa Tanzania, Dk. Rita Noronha, akifafanua jambo kwa  waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo.
Bango la Taasisi ya Amref Health Africa kwa ajili ya kampeni hiyo.
Waandishi wa habari, wakiwa kwenye mkutano huo wa Taasisi ya Amref Health Africa kwa ajili ya kampeni ya Stand Up for African Mother.
Naibu Mkurugenzi wa Amref Health Africa Tanzania, Dk. Rita Noronha, akizungumza jambo wakati wa mkutano huo.
Maofisa wa Amref Health Africa, wakiwa na wenzao wa Benk M, pamoja na waandishi wa habari, wakifuatilia mkutano huo jijini leo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo.
Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benk M, mmoja wa wafadhili wa kampeni hiyo, Jacquelin Woiso, akifafanua jambo kwenye mkutano huo.
Meneja Mradi Uboreshaji wa Uzazi Salama wa Chama cha Wakunga Tanzania (Tama), Martha Rimoy, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo, Dar es Salaam leo.
Maofisa wa Amref Health Africa, wakiwa na wenzao wa Benk M, pamoja na waandishi wa habari, wakifuatilia mkutano huo jijini leo.

No comments:

Post a Comment